Mchumba wa Flaviana Matata utata

Mchumba wa Flaviana Matata utata

Hilo bonge la blizzard umepona kweli huko?.

Well umeme ukikatika nitakoma.nina vijikuni vya fire place vikiisha sijui itakuwaje.well my hubby will take care of it .jenereta nomaa .mungu atafusaidia nipo macho tuuu.naogopaje halafu nimechukulia mzaha sijajitayarisha .najipa moyo media hype .
 
Stay warm and let nature do what It has to do!.
 
Hapa jamvini hakishindikani kitu..watu wemeleta picha fast a.. ha ha ha ha
 
juzi hapa huyo Dada alikuwa na kampeni ya kugawa madaftari kwa madogo wa shule huko bagamoyo, vipi mlimchangia hata daftari moja au mnataka tu kujua life privacy yake?
 
Acha kuzuga unapenda hii mambo
Ndo maana upo hapa...unapenda ubuyu
Wewe just admit 
Winnie227 hapa suala si ubuyu wala nini, I am saying hizi mambo za kuzusha zusha mara ooh mukulu mara oooh, zikapand azikashuka.

Haya wa team picha keshaweka, twende kazi na mada...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom