Awawe anajielewa
Awe mkweli, Mwenye upendo wa kweli.
Awe mvumilivu, Msikivu, mwenye Heshima
Awe na dini yoyote awe tayari kuendesha biashara ambazo tutafungua Pamoja.
Hii lifetime commitment mbona inaharakishwa hivyo.!?!.Habari za muda huu matumaini yangu nyote ni wazima wa afya,
SIFA ZA MWANAUME LIJALI NA MUOAJI
KAZI : Mini ni kijana Mchapakazi nimejiajili kwanye sekta Binafsi
UMRI : 30
MAKAZI : Dar es salaam
SIFA ZA MCHUMBA / MKE MTALAJIWA
YES MKUU HATA IVYO MAISHA YANAENDA KWA KASI SANA.Hii lifetime commitment mbona inaharakishwa hivyo.!?!.
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Waalike wahitaji wenye uhitaji tuwasaidie kuwahifadhi maaana kunawakati ,kuliko kutumia pesa kwenye starehe ni heli ukawekeza kwenye FamilyYES MKUU HATA IVYO MAISHA YANAENDA KWA KASI SANA.
Ndio kabisa maaana nataka atulie sehemu moja maaana kizazi cha sasa kimehalibika mkuuuUnataka kumfungulia biashara...ngoja waje
Naomba nikujibu kama ifuatavyo mkuu, ianategemeana na Mfuko wa muhusika na Maamuzi ya muhusika kwaiyo kwa upande wangu nimeamua kutulia mahala pamoja ili kuepusha magonjwa, kufilisiwa, nuksi na mikosi.ww kuna masharti. wtchcraft yamekutaka ukamilishe zoezi hilo ndo upate mkate wako nini.
hakuna mwanaume anaeoaga haraka hapa bongo. hata baba yako alioa kwa shinikizo la wazazi nayo ilimchukua mda sana kukubali
asante sana mkuu nadhani ngoja niongezee, ila nahisi kuna naoweza kuwakosa kama, akitokea ambae yupo tayari kuolewa lakini akiwa nanataka kubuy time kwanza kwa kusomana."Na mwenye haraka ya kuolewa" nadhani na hiki kigezo umekisahau
Ndio maana yake, na hata jambo lenyewe linataka hivyo kutokana na ukubwa wake.asante sana mkuu nadhani ngoja niongezee, ila nahisi kuna naoweza kuwakosa kama, akitokea ambae yupo tayari kuolewa lakini akiwa nanataka kubuy time kwanza kwa kusomana.
na barabara ziwe zinapika na mtaro uwe safi kuepusha mafuriko"Na mwenye haraka ya kuolewa" nadhani na hiki kigezo umekisahau
SURE\na barabara ziwe zinapika na mtaro uwe safi kuepusha mafuriko
Kibabe kijamaa yaan kila aina ya colonization imejaaa [emoji3]Hii lifetime commitment mbona inaharakishwa hivyo.!?!.
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]YES MKUU HATA IVYO MAISHA YANAENDA KWA KASI SANA.