Mchumba wa ( kike ) anahitajika ndoa ni haraka iwezekanavyo

Mchumba wa ( kike ) anahitajika ndoa ni haraka iwezekanavyo

X_Killer

Member
Joined
May 30, 2020
Posts
29
Reaction score
71
Habari za muda huu matumaini yangu nyote ni wazima wa afya,
SIFA ZA MWANAUME LIJALI NA MUOAJI
KAZI : Mini ni kijana Mchapakazi nimejiajili kwanye sekta Binafsi
UMRI : 30
MAKAZI : Dar es salaam

SIFA ZA MCHUMBA / MKE MTALAJIWA
Awawe anajielewa
Awe mkweli, Mwenye upendo wa kweli.
Awe mvumilivu, Msikivu, mwenye Heshima
Awe na dini yoyote awe tayari kuendesha biashara ambazo tutafungua Pamoja.
 
Habari za muda huu matumaini yangu nyote ni wazima wa afya,
SIFA ZA MWANAUME LIJALI NA MUOAJI
KAZI : Mini ni kijana Mchapakazi nimejiajili kwanye sekta Binafsi
UMRI : 30
MAKAZI : Dar es salaam

SIFA ZA MCHUMBA / MKE MTALAJIWA
Hii lifetime commitment mbona inaharakishwa hivyo.!?!.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Unataka kumfungulia biashara...ngoja waje
 
ww kuna masharti. wtchcraft yamekutaka ukamilishe zoezi hilo ndo upate mkate wako nini.

hakuna mwanaume anaeoaga haraka hapa bongo. hata baba yako alioa kwa shinikizo la wazazi nayo ilimchukua mda sana kukubali
 
Naomba nikujibu kama ifuatavyo mkuu, ianategemeana na Mfuko wa muhusika na Maamuzi ya muhusika kwaiyo kwa upande wangu nimeamua kutulia mahala pamoja ili kuepusha magonjwa, kufilisiwa, nuksi na mikosi.
 
asante sana mkuu nadhani ngoja niongezee, ila nahisi kuna naoweza kuwakosa kama, akitokea ambae yupo tayari kuolewa lakini akiwa nanataka kubuy time kwanza kwa kusomana.
Ndio maana yake, na hata jambo lenyewe linataka hivyo kutokana na ukubwa wake.

Hii haraka ni kutokana na utayari wako na sababu zako binafsi, laniki vipi kwa mwenzio naye atakuwa na haraka kama wewe hata kama atakuwa yupo tayari.
 
Haraka haraka haina baraka kuwa makini sana, Mungu akupe haja ya moyo wako.
 
Back
Top Bottom