Mchumba wa kike anahitajika Tanga

X_Killer

Member
Joined
May 30, 2020
Posts
29
Reaction score
71
SIFA ZANGU
  • Mwanaume mrefu Fut 5.6,
  • Mweupe, Macho ya Brown,
  • Mfanya Biashara Tanga Mjini,
  • Nipo ( SINGLE ).

SIFA ZA MCHUMBA WA KIKE.
  • Awe mrefu wastani/ Mfupi sawa,
  • Dini yoyote,
  • Awe Tanga / Mkoa mwingine,
  • Awe tarari kuanza Mahusiano mapya,
  • Awe na upendo wa dhati.

Kwa aliye tayari naomba Ani TxT / Massage na Tuanze Safari...
 
SIFA ZANGU
-
Mwanaume Mrefu Fut 5.6,
-Mweupe, Macho ya Brown,
-Mfanya Biashara Tanga Mjini,
- Nipo ( SINGLE ).

SIFA ZA MCHUMBA WA KIKE
-Awe mrefu wastani/ Mfupi sawa,
- Dini yoyote,
-Awe Tanga / Mkoa mwingine,
-Awe tarari kuanza Mahusiano mapya,
-Awe na upendo wa dhati.

Kwa aliye tayari naomba Ani TxT / Massage na Tuanze Safari...
 
Duh.
Kila la heri ila hujaspecify umri, hujaspecify unataka mwanamke wa aina gani, je unawakubali single moms?
Kwa upande wa dini fanya specifications pia, sio dini yoyote.

I wish you all the best.
 
W
Weka umri. Isije kuwa jua limeishazama ukaja kumfia mtoto wa kitanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…