Mchumba wa kike anahitajika Tanga

Mchumba wa kike anahitajika Tanga

SIFA ZANGU
  • Mwanaume mrefu Fut 5.6,
  • Mweupe, Macho ya Brown,
  • Mfanya Biashara Tanga Mjini,
  • Nipo ( SINGLE ).

SIFA ZA MCHUMBA WA KIKE.
  • Awe mrefu wastani/ Mfupi sawa,
  • Dini yoyote,
  • Awe Tanga / Mkoa mwingine,
  • Awe tarari kuanza Mahusiano mapya,
  • Awe na upendo wa dhati.

Kwa aliye tayari naomba Ani TxT / Massage na Tuanze Safari...
yaani kama umekosa mwanamke wa kuowa TANGA huwezi kupata kabisa kwingineko,
 
Upo sahihi mkuu ila kwa Level ZANGU sitaki kupoteza Muda kuanza kumbeleza Mwanamke... Maisha yamebadilika ... Kama una dada Yako aliye tayari kutulia sehemu moja mpe Connection ZANGU na nakuahidi ( Nitakuwa shemeji yako Mzuri sana) [emoji8]
Mwanaume anayetafuta wake mtandaoni namuona hayawani siyo mzima
 
Back
Top Bottom