Mchumba wa kimasai

Mwanafikra huru

Senior Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
141
Reaction score
18
Habari wana jamvi hili
Najitambulisha kwenu kwa mara ya kwanza kabisa kutembelea upande huu jana
mimi ni kijana 24 aged naenda 25 April kabila langu baba Mbukoba(Haya) na mama Mnyarwanda(rwandees)
nimekulia sehm zote nimesoma Tz na naipenda Tz na mim ni mtz , nimesomea Dr na kwa sasa niko Dar ila mama yangu bukoba
Miaka 3 iliyopita nilikutana na mwanamke wa kimasai Arusha wakati niko filed tukanzisha mahusiano ambayo yamedumu mpka leo lakini ki ukweli hatukuwahi ku sex na pengn ni kwa sababu hatuko karibu sana mda mwingi nilikuwa shule simu ndo kiunganishi chetu
Naweza kusema simjui kiundani kivile na mwanzo sikumpa nafsi kama anaweza kuwa mchumba wangu nilimchukulia kama mdada wa kawaida na wakti niko naye kuna mdada nilikuwa naye huko chuo lkn tukashindwna kwa vitu frani sasa kadri siku zinzvyo songa nimejikuta nampenda na kwa sasa yeye ndo kama mchumba wangu kwa nje ni msichna mzuri mwenye umbo mpole na myenyekevu japo sijawahi kuwa nae karibu sana simu ndo kiunganishi chetu na kwa sababu niko DR na yeye yuko Arusha hata siku mmoja hatugombani
wana jamvi niendelee nisiendelee?
 
wewe mhaya!!!!!!!!! usijemmaliza shosti wetu kwa ukimwi
 
Wee katoto ka miaka 24 unataka kuoa?
Hebu maliza ujana kwanza ndipo ufikirie porojo za kuoa.

kianachoa sio mika bwana kinachooa ni akili,2 usipo kuwa commitmnt at 25 old unategemea kuwa cmmtd at what time?
 
Ubaguzi wa hali ya juu ndugu!
kwani kunauongo hapo ,kuna shost wangu mmja alikuwa na mpenziwe mhya ,yule jamaa wala bila aibu anamwambia mimi bila mwanamke wa kihaya siridhiki ,hata tukafunga ndoa jua tu,kuna mke mwenzio pembeni wa kihaya,.
 
Wana kamchezo kao kanaitwa katelelo ni lazima wabunyane wenyewe ndio wanakajulia.
 
wakati mwingine kumshauri mjinga ni
 
Nimeuliza kuambiwa mbona sasa mnajadili kabila langu tukianza kujadili tabia na kabila za watu tutafika ?
 
wakati mwingine kumshauri mjinga ni

we dada mbna kaa akili zako zina matege huna cha kunishauli kaa kimya No research no right to provock" mimi sijabeba kabila langu nimejibeba mwenyewe.........!
 
Wana kamchezo kao kanaitwa katelelo ni lazima wabunyane wenyewe ndio wanakajulia.

tehe!tehe!tehe! About katerelo! I know it!,kule nimekaa kama miaka 4 hivi! Bila kumpiga hiyo kitu hujafanya lolote!
 
nina wasiwasi wewe ni Mzungu...

kwani kunauongo hapo ,kuna shost wangu mmja alikuwa na mpenziwe mhya ,yule jamaa wala bila aibu anamwambia mimi bila mwanamke wa kihaya siridhiki ,hata tukafunga ndoa jua tu,kuna mke mwenzio pembeni wa kihaya,.
 
hongera kijana nachokushaur jaribu kukaa naye karibu umsome tabia ila hongera kwakupa ka demu wa kimasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…