Mwanafikra huru
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 141
- 18
Habari wana jamvi hili
Najitambulisha kwenu kwa mara ya kwanza kabisa kutembelea upande huu jana
mimi ni kijana 24 aged naenda 25 April kabila langu baba Mbukoba(Haya) na mama Mnyarwanda(rwandees)
nimekulia sehm zote nimesoma Tz na naipenda Tz na mim ni mtz , nimesomea Dr na kwa sasa niko Dar ila mama yangu bukoba
Miaka 3 iliyopita nilikutana na mwanamke wa kimasai Arusha wakati niko filed tukanzisha mahusiano ambayo yamedumu mpka leo lakini ki ukweli hatukuwahi ku sex na pengn ni kwa sababu hatuko karibu sana mda mwingi nilikuwa shule simu ndo kiunganishi chetu
Naweza kusema simjui kiundani kivile na mwanzo sikumpa nafsi kama anaweza kuwa mchumba wangu nilimchukulia kama mdada wa kawaida na wakti niko naye kuna mdada nilikuwa naye huko chuo lkn tukashindwna kwa vitu frani sasa kadri siku zinzvyo songa nimejikuta nampenda na kwa sasa yeye ndo kama mchumba wangu kwa nje ni msichna mzuri mwenye umbo mpole na myenyekevu japo sijawahi kuwa nae karibu sana simu ndo kiunganishi chetu na kwa sababu niko DR na yeye yuko Arusha hata siku mmoja hatugombani
wana jamvi niendelee nisiendelee?