Mchumba wa kiume aliyeokoka anahitajika

Namba 2 na 6 vimefanya nikose mke, ngoja nikuunganishe na jamaa yangu mwaka jana alifiwa na mke nadhani masharti anayaweza.
 
Kazana kumwomba Mungu atajibu maombi kwa wakati wake,

Mungu hachelewi na wala Hawahi hivyo subira inahitajika

Kwa jf sidhani kama ni mahali sahihi kumpata mchumba wa aina uliyoitaja.
 
Ungefanya la maana sana ukaweka na picha yako ili isijekuwa bi. Kidude ni pacha mwenzio!![emoji86] [emoji86]
 
nina watoto wa nne, hilo tu ndio lineniweka mbali na wewe, dah, nimeyapenda maelezo yako kiujumla weka angalau picha basi iniliwaze nikukumbukapo n.b pigia kanisani mpendwa.
 
Ukiona mtafuta mume anaficha profile yake ujue hilo ni guta na halichagui aina ya mzigo....!
Kitu kidogo kama hicho anaficha!! Bila shaka kuna mengi ya hovyo nyuma ya pazia.
 
Wale wanaoishi nje ya nchi mnakaribishwa. Nimeipenda hii
 
Kazana kumwomba Mungu atajibu maombi kwa wakati wake,

Mungu hachelewi na wala Hawahi hivyo subira inahitajika

Kwa jf sidhani kama ni mahali sahihi kumpata mchumba wa aina uliyoitaja.
Asante
 
Ukiona mtafuta mume anaficha profile yake ujue hilo ni guta na halichagui aina ya mzigo....!
Kitu kidogo kama hicho anaficha!! Bila shaka kuna mengi ya hovyo nyuma ya pazia.
Kama unanijua sawa
 
yaani watakuja kama malaika usije kusex na mtu huku dada utakoma nakuambia kama akija umesema unataka mume sio? akuoe kwanza
Ni kweli unachokisema . Mwenye nia lazima atakuwa na subira . Nashukuru kwa hilo ulilolisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…