Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina watoto wa nne, hilo tu ndio lineniweka mbali na wewe, dah, nimeyapenda maelezo yako kiujumla weka angalau picha basi iniliwaze nikukumbukapo n.b pigia kanisani mpendwa.Habari Za Leo Wana Jf. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema . Sifa za mchumba ni:
1) Mkristo lakini asiwe wa jina , awe mcha Mungu na mwenye Hofu ya Mungu. ( Mlokole )
2)Awe na miaka kuanzia 35-40 na aliye single.
3)Awe na watoto wasiozidi wawili tuu.
4) Mwenye kazi na miradi yake halali inayoingiza kipato tafadhali.
5) Asiwe na dramas na mzazi mwenzie. Akiwa mjane itakuwa sawa pia. Awe ameshamaliza ujana wake .Sihitaji players nimewachoka maana wamenipotezea muda wangu na mengineyo mengi tuu.
6) Awe tayari kupima Afya
7)Awe mkubwa wa familia , atakayeoongoza familia katika misingi ya Yesu Kristo. Asiwe mmnywaji Pombe wala mvuta sigara .
8)Awe na upendo wa kweli kwa familia zote mbili .
Jamani naomba tuelewane kuwa siko hapa kucheza niko serious . Sitaki kuchezewa akili na kupotezewa Muda nimeezeka ambako siko baada ya wao kufanikiwa kimaisha wakaanza viburi na dharau, kama unajiona hauko tayari naomba usinitafute .Kama uko serious naomba tuwasiliane . Kwa walio nnchi za Nnje tafadhali karibuni sana . Naweza kuwa na mahusiano ya mbali nilishawahi kufanya hivyo na haikunisumbua Mimi. Niko tayari kujibu kuhusu Mimi PM kwa walio serious na wenye nia ya kweli tuu . Asante nashukuru Sana na Mungu awabariki. Asante!
Asante kwa taarifayaani dada huku ni waume za watu tu usithubutu
Asante kwa kuipendaWale wanaoishi nje ya nchi mnakaribishwa. Nimeipenda hii
AsanteKazana kumwomba Mungu atajibu maombi kwa wakati wake,
Mungu hachelewi na wala Hawahi hivyo subira inahitajika
Kwa jf sidhani kama ni mahali sahihi kumpata mchumba wa aina uliyoitaja.
yaani watakuja kama malaika usije kusex na mtu huku dada utakoma nakuambia kama akija umesema unataka mume sio? akuoe kwanzaAsante kwa taarifa
Kijana hayo sasa ni matusiUngefanya la maana sana ukaweka na picha yako ili isijekuwa bi. Kidude ni pacha mwenzio!![emoji86] [emoji86]
Kama unanijua sawaUkiona mtafuta mume anaficha profile yake ujue hilo ni guta na halichagui aina ya mzigo....!
Kitu kidogo kama hicho anaficha!! Bila shaka kuna mengi ya hovyo nyuma ya pazia.
Ni kweli unachokisema . Mwenye nia lazima atakuwa na subira . Nashukuru kwa hilo ulilolisemayaani watakuja kama malaika usije kusex na mtu huku dada utakoma nakuambia kama akija umesema unataka mume sio? akuoe kwanza
PoleMnatuonea sana huo umri mnaoutaka
ila ungeweka email adress au namba ya simu maana kama mtu sio member huku hatoweza kukupataNi kweli unachokisema . Mwenye nia lazima atakuwa na subira . Nashukuru kwa hilo ulilolisema
Sawaila ungeweka email adress au namba ya simu maana kama mtu sio member huku hatoweza kukupata