Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

Sitaki kuwa negative but exam performance na ubobezi katika fani husika ni vitu viwili tofauti.

One can perform wonders on attempting and answering selected number of questions on a paper but i’m telling u it’s quite diffetent from executing the respective field. Take it from me
 
You are very correct bro.
Mimi kuna watu nilisomaga nao ambao walikuwa wanapiga ma GPA ya 4.5 baada ya kumaliza chuo na kurudi mtaani hakuna cha maana wanachokifanya zaidi ya kunyonywa tu kwa wahindi.
 
You are very correct bro.
Mimi kuna watu nilisomaga nao ambao walikuwa wanapiga ma GPA ya 4.5 baada ya kumaliza chuo na kurudi mtaani hakuna cha maana wanachokifanya zaidi ya kunyonywa tu kwa wahindi.
Uwe na bahati Sana
Nani akuajiri ili ukachukue nafasi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…