Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

Kama ana nia,Namtakia kila la kheri.ni wazo nzuri sana!

Tumjue kwanza Kichere ni nani na ametokea wapi????
Mpaka amekuwa CAG?

Alisomea elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam na chuo kikuu cha Tumaini, mjini Dar Es Salaam.

Kichere aliwahi kuwa naibu kamishna mkuu wa TRA.

Mnamo tarehe 25 Machi mwaka 2017, aliteuliwa na rais Magufuli kuwa kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA).

Aliipokea nafasi hiyo kutoka kwa Alphayo Kidata ambaye aliteuliwa wakati huo kuwa katibu mkuu ikulu Tanzania.

Charles Kichere alihudumu kama kamishna wa TRA kuanzia Machi 2017 hadi Juni mwaka huu 2019, wakati aliondoshwa katika mamlaka hiyo ya TRA, katika mageuzi ya rais Magufuli aliyotoa ikulu mjini Dar es Salaam kupitia taarifa rasmi ya mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.

Kichere aliteuliwa badala yake kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe.

Yuko kwenye bodi ya Benki ya CRDB Tanzania.

Zamani alikuwa mkaguzi mkuu wa shirika la Kitaifa la barabara, mweka hazina na pia mkaguzi mkuu wa hesabu katika kampuni ya majani chai ya Unilever nchini Kenya na Tanzania.
 
Vijana wanafeli wapi? Mnatangaza tangaza wake zenu hovyo hovyo na kuwasifia bila mpangilio. Huyo ni mke sio biashara.
 
Sitaki kuwa negative but exam performance na ubobezi katika fani husika ni vitu viwili tofauti.

One can perform wonders on attempting and answering selected number of questions on a paper but i’m telling u it’s quite diffetent from executing the respective field. Take it from me
Cheers
 
Back
Top Bottom