Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

Dogo ananyonywa damu ikiwezekana sometimes tuwe tunamsaidia tu. Sharing is careering.
 
Namuoea huruma sana huyu dogo......ningekuwa na mke mzuri hivyo halafu anafaulu sana kila siku ningepoteza amani kabisa....ningejiona fala ...anavyomuanika hivi baada ya uchaguzi atapelekwa ubalozi au atapewa uRC au uCAG....halafu dogo ataendelea kushangilia tu
 
Hakuna mwanamke mzuri hapo, nenda fotoshop mpige rangi nyeusi uone
 
Intermediate level ndio CPA? Huyo CPA ataipata 2022 bado sana.

Huyo bwana wake kajiandikia tu.
 
"Ewe msomi wa shahada sijajua umesoma nini"... Unju.

What's Up Nikki Mbishi.

-Kaveli-
 
Nasikia Prof KALAMAGANDA amepiga huo mzigo kule Ufaransa.
 
Back
Top Bottom