Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

Kufaulu vizuri perfomance management ndo awe apewe icho kitengo mkuu namna gani wewe na hiyo ni CPA tu. Si ajabu apo kamaliza degree ndo katafuta iyo CPA. Em muwe mnafatilia mambo kabla ya kupost apa aisee
 
Nina maswali mengi hapo jamani. Kwa hiyo ndio huyu mke wake na Nick wakuu?. Si amemuoa tayari?. Ndio huyu alikuwa anamsifia dunia nzima sio?. Ndio huyu Kigogo 2014 amesema wamemgongea Nick,pale lorge gani pale?. Yote kwa yote kidemu ni kikali hatari
 
Huyu jamaa anapenda kumwanika sana huyu mwanamke wake kwenye mitandao wanaume wakware wakimpitia atalaumu?
Ashacharazwa pumbu mbna mkuu....kigogo2014 ana mafaili yote..wana wamekula mpak jicho 😀😀 wahuni sio watu wazuri
 
Back
Top Bottom