Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

Kufaulu vizuri perfomance management ndo awe apewe icho kitengo mkuu namna gani wewe na hiyo ni CPA tu. Si ajabu apo kamaliza degree ndo katafuta iyo CPA. Em muwe mnafatilia mambo kabla ya kupost apa aisee
Pole
 
Lakini si tulikubaliana jamaa hajachapiwa!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wistaz! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom