Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini inaruhusu kuoa Zaidi ya Mmoja?Au aje tu kwangu...😜
Ndio nataka nioe huyu mkuu, nimeamua kujiondoa kwenye team kataa ndoa..🤣Dini inaruhusu kuoa Zaidi ya Mmoja?
Nitachangia mchango wa harusi,kikubwa usitembee na mama yake tu mkuu na kuwasiliana na ex wako.Ndio nataka nioe huyu mkuu, nimeamua kujiondoa kwenye team kataa ndoa..🤣
Tanzania, Dodoma kondoa 😁Hayo uliyoandika ni dunia hii hii?
Kipo unachokitafuta we dada 😅Picha lote ushaliona unataka nini tena?Mchumba wangu amelala na Mtu na Mama yake, je atabadilika?
Niko kwenye mahusiano na huyu kaka, huu ni mwaka wa pili. Kabla ya kukutana naye, alikuwa ameshaoa, lakini alikuja kuachana na mke wake kwa sababu alianzisha mahusiano na mama mkwe wake. Ndiyo, kaka huyo aliingia kwenye mahusiano na mama mzazi wa mke wake.
Kilichotokea ni kwamba, mimi niko huku (sitataja eneo), ambapo wanawake ni malaya sana na hawajali kuhusu kuchangia mwanaume na hata ndugu. Hivyo, kipindi mke wake alipokuwa kajifungua, mama yake alikuja kumtunza katika uzazi. Wakati wa kukaa huko, alianza mahusiano na mama mkwe wake, mpaka mtoto wa mke wake akajua.
Waligombana sana, na mama mkwe alikataa kurudi nyumbani kwa mume wake hadi kikao cha familia kilipokaa na kumlazimisha kurudi kwa mume wake. Mama mkwe alirudi, lakini bado aliendelea kumsumbua binti yake. Mwisho wa yote, binti huyo aliondoka kwa hasira, na mwanaume huyo akampa talaka.
Binti aliondoka, lakini maisha hayakumwendea vizuri, hivyo alitaka kurudi kwa mume wake. Hata hivyo, aliporudi alikuta tayari nipo kwenye mahusiano na huyo mwanaume. Kwa miaka miwili sasa,yeye na Mama yake wamekuwa wakinisumbua kwa kunivurugia amani, wakisema lazima niondoke.
Mimi nimekaa kimya kwa sababu mwanaume aliniahidi kuwa hawezi kurudiana na familia hiyo kwa sababu anaamini familia hiyo ina laana kwa kitendo walichofanya.
Sababu ya kuja kwako ni kwamba, nimemshika simu ya mwanaume na kugundua kuwa bado ana mawasiliano na aliyekuwa mke wake. Wanaitana "mke" na "mume," na wanatumiana mpaka picha za uchi. Nikimuuliza, anadai kuwa ni mambo ya mtoto. Kinachonishtua zaidi ni kwamba bado ana mawasiliano na yule mama mkwe.
Sijawahi kuona meseji za mapenzi kutoka kwa huyo mama, lakini mwanaume anamtumia pesa, anamnunulia zawadi, na nikimuuliza anadai ni kwa sababu ni mama mkwe wake na wanakaa na wajukuu zake, hivyo hawezi kumtenga.
Kwa sasa nimemchoka, na kuna wakati mama na binti yake hunipigia simu na kunitukana wakisema watafan*ya kila kitu kuniondoa. Mwanaume ananiambia nione kama wapuuzi na nipuuze maneno yao. Mwezi ujao, anatarajia kuja kujitambulisha nyumbani kwetu na kunitolea mahari, lakini naogopa sana kama huyu mtu atabadilika.
Bahati mbaya leo jnne hata hatutoi ushauri, asubirie ijumaaKwa hali hiyo Bado unaomba ushauri?
Huna akili mjus wwMchumba wangu amelala na Mtu na Mama yake, je atabadilika?

Kwani na màma yake ni malaya hadi akitongozwa akubali?Naona unamuweka.na mama yako hatarini
Huyo ni mbwa koko habadiliki.achana nae unajitia nuksi Tu hapo
Uongo!!!! Kila siku unazushaMchumba wangu amelala na Mtu na Mama yake, je atabadilika?
Niko kwenye mahusiano na huyu kaka, huu ni mwaka wa pili. Kabla ya kukutana naye, alikuwa ameshaoa, lakini alikuja kuachana na mke wake kwa sababu alianzisha mahusiano na mama mkwe wake. Ndiyo, kaka huyo aliingia kwenye mahusiano na mama mzazi wa mke wake.
Kilichotokea ni kwamba, mimi niko huku (sitataja eneo), ambapo wanawake ni malaya sana na hawajali kuhusu kuchangia mwanaume na hata ndugu. Hivyo, kipindi mke wake alipokuwa kajifungua, mama yake alikuja kumtunza katika uzazi. Wakati wa kukaa huko, alianza mahusiano na mama mkwe wake, mpaka mtoto wa mke wake akajua.
Waligombana sana, na mama mkwe alikataa kurudi nyumbani kwa mume wake hadi kikao cha familia kilipokaa na kumlazimisha kurudi kwa mume wake. Mama mkwe alirudi, lakini bado aliendelea kumsumbua binti yake. Mwisho wa yote, binti huyo aliondoka kwa hasira, na mwanaume huyo akampa talaka.
Binti aliondoka, lakini maisha hayakumwendea vizuri, hivyo alitaka kurudi kwa mume wake. Hata hivyo, aliporudi alikuta tayari nipo kwenye mahusiano na huyo mwanaume. Kwa miaka miwili sasa,yeye na Mama yake wamekuwa wakinisumbua kwa kunivurugia amani, wakisema lazima niondoke.
Mimi nimekaa kimya kwa sababu mwanaume aliniahidi kuwa hawezi kurudiana na familia hiyo kwa sababu anaamini familia hiyo ina laana kwa kitendo walichofanya.
Sababu ya kuja kwako ni kwamba, nimemshika simu ya mwanaume na kugundua kuwa bado ana mawasiliano na aliyekuwa mke wake. Wanaitana "mke" na "mume," na wanatumiana mpaka picha za uchi. Nikimuuliza, anadai kuwa ni mambo ya mtoto. Kinachonishtua zaidi ni kwamba bado ana mawasiliano na yule mama mkwe.
Sijawahi kuona meseji za mapenzi kutoka kwa huyo mama, lakini mwanaume anamtumia pesa, anamnunulia zawadi, na nikimuuliza anadai ni kwa sababu ni mama mkwe wake na wanakaa na wajukuu zake, hivyo hawezi kumtenga.
Kwa sasa nimemchoka, na kuna wakati mama na binti yake hunipigia simu na kunitukana wakisema watafan*ya kila kitu kuniondoa. Mwanaume ananiambia nione kama wapuuzi na nipuuze maneno yao. Mwezi ujao, anatarajia kuja kujitambulisha nyumbani kwetu na kunitolea mahari, lakini naogopa sana kama huyu mtu atabadilika.
Isijekuwa amefingwa huyo ndugu yeti kufikia kiwango kuwa hasikii wala hazingatii unayomwambia ,Omba Mungu tu atakuonesha zaidi ya hayo uliyoyaonaMchumba wangu amelala na Mtu na Mama yake, je atabadilika?

Mzee umefukua makaburi yote ya sinza paleUongo!!!! Kila siku unazusha
Mama kanikimbizia mchumba wangu
Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu! Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka huu, basi nilikubali nakukaa kimya, lakini mwezi wa sita alisimamishwa kazi hivyo nilishindwa...
- Rosemin
- Thread
- Wednesday at 8:44 PM
- R
Nina miaka 24 anataka kunipa mimba kabla ya ndoa ili ajue kama nina kizazi
Mimi binti wa miaka 24, sijaolewa ila nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mahusiano huu ni mwezi 9, ananipedna na mimi nampenda, shida inakuja hivi, wakati tunaanza mahusiano aliniambia kuwa anataka kunioa. Lakini kabla ya ndoa anataka nibebe mimba ili kupima kama nina kizazi au la kwani kuna...
- Rosemin
- Thread
- Dec 31, 2024
- R
Nilimkuta hana kitu tukafungua biashara mpaka ikafika milioni 100 lakini akanifukuza
Nilimkuta hana kitu, tukafungua biashara ikafikia Milioni 100, akanifukuza! **** Sasa Hivi Nina Biashara Yangu Ananiheshimu! “Huna akili mjinga wewe mwanamke gani matako yako mgongoni, sijui hat aukinya inakuaje, hembu angalia, mimi wanawake wananipenda, nina akili na usidhani haya mafanikio...
- Rosemin
- Thread
- Dec 30, 2024
- R
Nilipata pesa na kujiona mwanaume ndani ya ndoa
YAMENIKUTA; nilipata pesa na kutaka kuwa mwanaume ndani ya ndoa yangu! Maisha haya acha tu, hivi kwanini kuna mambo yanatokea halafu ndiyo mtu unakuja kujutia baadaye. Nilinunuliwa Kitabu na rafiki yangu, yaani rafiki yangu yuleyule ambaye alikua akinishauri nimuache mume wangu ndiyo...
- Rosemin
- Thread
- Dec 28, 2024
- R
Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu
NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU! Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu. Huyu Kaka ana kampuni yake...
- Rosemin
- Thread
- Dec 26, 2024
- R
Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine
Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo...
- Rosemin
- Thread
- Dec 15, 2024
- R
Alinisaliti nimebeba mimba ya mwanaume mwingine ananiambia niitoe ili anioe
Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana...
- Rosemin
- Thread
- Sep 11, 2024
Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?
Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani...
- Rosemin
- Thread
- Jan 1, 2024
- R
Anataka kumleta ndugu yake wakati anajua tunaishi kwenye chumba kimoja na pia anaongea na mwanaume mwingine saa nne usiku
Kuna mambo yanakera sana aisee yaani mtu unamuambia mimi na wewe tunakaa chumba kimoja na bado anataka kumleta ndugu yake na halafu mimi bado sijajipanga kiuchumi na ukimuelekekeza anasema mimi sitaki ndugu zake Na ananiambia yeye kuwaleta ndugu zake si laxima aniambie mimi yeye anawaleta tu...
- Rosemin
- Thread
- Dec 31, 2023
- Tagschumba chumba kimoja mwanaume mwanaume mwingine mwingine ndugu saa usiku wakati
- Replies: 31
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- R
Nimepigwa na mke wangu
Nimefukuzwa na kupigwa makofi na mke wangu baada ya kukataa kumpa pesa za kununulia gari na na kumkataza kwenda kwenye kuhesabiwa huko kwao Machame aisee yaani sio poa kabisa Mke wangu ni Mchaga na kila mwaka lazima waende lakini mwaka huu nikasema hauwezi kwenda kwasababu mwaka jana kule Moshi...
- Rosemin
- Thread
- Dec 12, 2023
- R
Hivi inakuaje mwanamke anakutukana na kukupiga?
Wakuu nimepigwa na mchumba wangu mdomoni na kuniongolea maneno mabaya. Kuna kitabia ambacho mke wangu anayonifanyia kabisa sometime ananipiga na kunitukana na kuniongelea kashfa mbaya
- Rosemin
- Thread
- Nov 24, 2023
- R
Kuna slay queen jana nimempiga mjegenye mpaka akatoka mbio na mimi asubuhi nimejikuta nipo wodini siwezi kutembea! Mombi yenu wakuuembea
Hili dada poa wa.kutoka hapa kitambaa cheupe kwa jina namuhifadhi slim flani yaani ana nyama kidogo na pia ana kishundu balaa kila siku nilikuwa namuambia ipo siku nitakuonesha na pia alikuwa ana dharau balaa kwamba mimi simpi kile kitu inapenda.aisee Basi bwana jana nikarnda pale kitambaa...
Unawakika ni Dodoma kondoa mbona unawavujua wakwe zetu heshima.Tanzania, Dodoma kondoa [emoji16]