Mchumba wangu aliachana na Mke kwa kulala na Mkwe wake

Kwa hali hiyo Bado unaomba ushauri?
 
Hata kama ndoa ni ngumu hapo hapakufai vunja haraka mahusiano.
 
acha uzinifu kuna kirusi kimekuja kuwaondoa watu wajikute kwenye moyo wa dunia utapata tabu acha usinz narudia acha .....funguka macho unajiharibu mapepo unayanyonyesha
 
Kipo unachokitafuta we dada 😅Picha lote ushaliona unataka nini tena?
Hebu waache mtu na mume wake walee mtoto buana hayo ya mama mkwe waachie wenyewe.
 
Huna akili mjus ww

Yan hata hujui unaandika nn na unataka nn

Kenge mkubwa ww kama umepewa matako bila akili madhara yake ndo hayo

Mtakuja kufa na hao wanaume watabaki fis ww
 
Naona unamuweka.na mama yako hatarini
Huyo ni mbwa koko habadiliki.achana nae unajitia nuksi Tu hapo
Kwani na màma yake ni malaya hadi akitongozwa akubali?
Au ni kweli kila mwanamke anajiuza kwa style yake?
 
Uongo!!!! Kila siku unazusha

  1. Mama kanikimbizia mchumba wangu

    Mama Yangu Kanikimbizia Mchumba Wangu! Mimi ni binti wa miaka 30, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na Kaka mmoja huu ni mwaka wa saba. Mwaka jana tuliongea kuhusu ndoa akaniambia itakua mwaka huu, basi nilikubali nakukaa kimya, lakini mwezi wa sita alisimamishwa kazi hivyo nilishindwa...
    • Rosemin
    • Thread
    • Wednesday at 8:44 PM
  2. R

    Nina miaka 24 anataka kunipa mimba kabla ya ndoa ili ajue kama nina kizazi

    Mimi binti wa miaka 24, sijaolewa ila nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mahusiano huu ni mwezi 9, ananipedna na mimi nampenda, shida inakuja hivi, wakati tunaanza mahusiano aliniambia kuwa anataka kunioa. Lakini kabla ya ndoa anataka nibebe mimba ili kupima kama nina kizazi au la kwani kuna...
  3. R

    Nilimkuta hana kitu tukafungua biashara mpaka ikafika milioni 100 lakini akanifukuza

    Nilimkuta hana kitu, tukafungua biashara ikafikia Milioni 100, akanifukuza! **** Sasa Hivi Nina Biashara Yangu Ananiheshimu! “Huna akili mjinga wewe mwanamke gani matako yako mgongoni, sijui hat aukinya inakuaje, hembu angalia, mimi wanawake wananipenda, nina akili na usidhani haya mafanikio...
  4. R

    Nilipata pesa na kujiona mwanaume ndani ya ndoa

    YAMENIKUTA; nilipata pesa na kutaka kuwa mwanaume ndani ya ndoa yangu! Maisha haya acha tu, hivi kwanini kuna mambo yanatokea halafu ndiyo mtu unakuja kujutia baadaye. Nilinunuliwa Kitabu na rafiki yangu, yaani rafiki yangu yuleyule ambaye alikua akinishauri nimuache mume wangu ndiyo...
  5. R

    Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

    NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU! Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu. Huyu Kaka ana kampuni yake...
  6. R

    Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo...
  7. R

    Alinisaliti nimebeba mimba ya mwanaume mwingine ananiambia niitoe ili anioe

    Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana...
  8. Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?

    Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani...
  9. R

    Anataka kumleta ndugu yake wakati anajua tunaishi kwenye chumba kimoja na pia anaongea na mwanaume mwingine saa nne usiku

    Kuna mambo yanakera sana aisee yaani mtu unamuambia mimi na wewe tunakaa chumba kimoja na bado anataka kumleta ndugu yake na halafu mimi bado sijajipanga kiuchumi na ukimuelekekeza anasema mimi sitaki ndugu zake Na ananiambia yeye kuwaleta ndugu zake si laxima aniambie mimi yeye anawaleta tu...
  10. R

    Nimepigwa na mke wangu

    Nimefukuzwa na kupigwa makofi na mke wangu baada ya kukataa kumpa pesa za kununulia gari na na kumkataza kwenda kwenye kuhesabiwa huko kwao Machame aisee yaani sio poa kabisa Mke wangu ni Mchaga na kila mwaka lazima waende lakini mwaka huu nikasema hauwezi kwenda kwasababu mwaka jana kule Moshi...
  11. R

    Hivi inakuaje mwanamke anakutukana na kukupiga?

    Wakuu nimepigwa na mchumba wangu mdomoni na kuniongolea maneno mabaya. Kuna kitabia ambacho mke wangu anayonifanyia kabisa sometime ananipiga na kunitukana na kuniongelea kashfa mbaya
  12. R

    Kuna slay queen jana nimempiga mjegenye mpaka akatoka mbio na mimi asubuhi nimejikuta nipo wodini siwezi kutembea! Mombi yenu wakuuembea

    Hili dada poa wa.kutoka hapa kitambaa cheupe kwa jina namuhifadhi slim flani yaani ana nyama kidogo na pia ana kishundu balaa kila siku nilikuwa namuambia ipo siku nitakuonesha na pia alikuwa ana dharau balaa kwamba mimi simpi kile kitu inapenda.aisee Basi bwana jana nikarnda pale kitambaa...
 
Isijekuwa amefingwa huyo ndugu yeti kufikia kiwango kuwa hasikii wala hazingatii unayomwambia ,Omba Mungu tu atakuonesha zaidi ya hayo uliyoyaona
 
Mzee umefukua makaburi yote ya sinza pale
 
Unachokitafuta utakipata vizuri tu. Jamaa atakulombea wanafamilia kama hana akili nzuri
 
Kituko kikubwa ni pale kikao Cha familia kilikaa na kumlazimisha mama arudi kwa mume wake Ambae ni baba ya huyo mke wa jamaa. Ama Kuna familia duniani.
Nyota njema huoneka alfajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…