Mchumba wangu aliachana na Mke kwa kulala na Mkwe wake

Dada hiyo ni red flag teyari. Kimbia haraka. Kwanza Biblia inasema anayelala na mama mkwe wake amelaaniwa. " Na alaaniwe alalaye na mkwewe, mamaye mkewe. Na watu wote waseme, Amina."(Kumbu kumbu la torati 27:23)
 
Sijafika mwisho ila huyo mwanamume ndo ana laana ma soon na wewe inakupata
 
Haieleweki vizuri.

Ila kama ni wewe au huyo aliyekutuma mfikishie huu ujumbe "HAUNA AKILI"
 
Hao ni Wa Spanish?
 
Una roho ngumu sana, unawezaje kuendelea kuwa na mahusiano na mwanaume wa namna hiyo- hasa baada ya kujua uchafu wore huo?
 
Achana nae haraka sana, hamnamo mtu humo, kadhalika mtu wa aina hiyo hawezi acha tabia zake. Achana nae nyoka uyooo ataichimba mpk kwa ndugu zako i swear
 
Familia ile.ina laana ila yeye aliyevua chipi ya mama mkwe hana laana?
 
Mama yako mzazi yupo?? Kama yupo basi stay tuned..
 
huyo mwanaume tayari analaana je unataka kutengeneza ukoo wenye laana? acha wafu wazikane wao kwa wao
 
Achana nae huyo njoo kwangu mimi mstaarabu mtu wa Mungu na pesa ninazo ni wewe tu
 
Mapenzi hayashauriwi.....ila mpaka unaomba ushauri ni kwamba moyo wako na akili yako haisemi lugha moja....moyo wako unampenda huyo Bwana...na kwasababu amekuahidi anakwenda na kwenu (wanawake tunavyopenda ndoa) ndio unabaki njia panda kabisa...ila akili yako iko sahihi huyo sio mwanaume...kama unaweza achana nae...hauwezi endelea nae ila UTAJUTA
 
Hapo sina ushauri zaidi ya kukuomba kwamba uokoke na umpe Yesu maisha yako.
 
Wanaume hujiadhari na masingo maza na wanawake huaswa wajiadhari na mwanaume alieachana na mkewe.
 
Eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…