Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Hao wasio na akil ndo wazur..hata ukicheat unajitetea kitaalam wanaamin..braza vip wew...mbuz kafia kwa muuza supu braza
 
amekuja lini mjini? usije kumhukumu bure.
 
Aiseee. Mbona hii taarifa kama ina kuhusu wewe mwenyewe. Nikutafute umekua hela? Wewe ndio una stress aisee umenichekesha kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Basi tuliza mshono mkuu. Acha kujipa umuhimu kwenye maisha yangu. Zipo nyuzi nyingi tu nenda huko achana na chai yangu [emoji28][emoji28]

Wapo wenye akili timamu ambao wanaelewa ninachozungumza.

Ebo [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kama kuambiwa ni chai umeambiwa na wengi ila umenikalia mimi kooni na essay zako. Kama hukutaka nirudi ku comment si ungepotezea reply yangu, mbona umejibu ili nipate notification.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tuliza wewe kitenesi
 
Mkuu ukimuoaa jiandae kuchapa watoto kisa wanakuwa wa mwisho darasanii...!! uandae urithi kabisa wa kuwapa maana wakirithi akili za mama yao elimu itawapiga chengaa sanaaa
 
Kama kuambiwa ni chai umeambiwa na wengi ila umenikalia mimi kooni na essay zako. Kama hukutaka nirudi ku comment si ungepotezea reply yangu, mbona umejibu ili nipate notification.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliza wewe kitenesi
Mkuu, hebu wataje hao wengi...kama sio wewe na mwendawazimu mwenzako ambao mmekuja kwa kasi ya 5G kwenye uzi ambao hamkutakiwa kuwepo right from the start. Uzuri mwenzako amekuwa muelewa, wewe ndio unaniletea ujuaji!

Siwezi kunyamaza nikakuacha uendelee na ujinga wako.

Acha ambao wameona uhalisia ndio wa-comment, otherwise naweza kukuvunjia heshima ukanichukia maisha yako yote ingawa hatufahamiani.

Biblia imesema makwazo hayanabudi kuja, ila OLE WAO WALETAO MAKWAZO. Unanikwaza mkuu, bilashaka una mambo mengi ya kufanya, weka jitihada huko, achana na huu uzi, acha kujipa umuhimu kwenye maisha yangu.

Please!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tukienda kwenye interview tunaulizwa maswali ya kwenye JD na tunapewa maksi kubwa humo. Sasa mkuu muulize maswali kuhusu interest yake ndio utaweza kupima uwezo wake wa kiakili kwa uzuri.

Ukimjudge kwa hili utakuwa unamuonea. Hata hivyo watoto wanarithi akili kwa mzazi wa kike.
 
Una akili sana.

Kuna mkuu mmoja nimemjibu katika muktadha huu. Kwamba criteria ya kupima intelligence ya mtu haiwezi kuwa confined kwenye uwezo wake wa utambuzi kwenye maswala ya kisiasa tu. Yapo maeneo mengine mengi, hasa maeneo yake ya interest.

Otherwise tutamuonea binti wa watu bure tu.

Asante kwa mchango wako mkuu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa 2000 unakuta TV yake wasafi TV...
Ungemuuliza unamjua Baba levo?akupe history ambayo hata wewe pengine huijui..πŸ˜ƒ
Kama ulikuwepo
Kuna dogo mmoja naishi kamaliza chuo , hana ajira ila kila kukicha cha kwanza ni kufungua wasafi tv πŸ˜ƒ
 
Mwanamume na utu uzima wako unaamini kabisa kuwa umeokoka? Labda nikuulize, umeokoka na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…