Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Nikichogundua mleta mada una pepo la umaskini .Mtu maskini hujaza kichwani vitu vingi ambavyo hata havina faida yeyote kwake.Huyo Binti ana roho ya utajiri kama ulivyosema ni mjasilia Mali Yuko vizuri .Kutokujua hata Lowasa ni nani Amjue ili iweje?

Wewe mleta mada unajaza kwenye bichwa madude yasiyokuwa na faida yeyote.Kumjua Lowasa kunakusaidia Nini kwenye maisha Yako kama sio tu kujaza ujinga kichwani
Heri yako wewe tajiri.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
1. Atakuwa mtoto wa miaka 2010 ikiwa ina maana unataka kuoa underage ndio maana hamfahamu lowassa au
2. Alipokuwa shule kama si mtoto wa 2010 alikuwa kilaza sana kiasi kwamba hata somo la uraia kipindi ambapo varaza la mawaziri halibadiliki hovyo alishindwa hata kuwafahamu.

Hafai kuwa mke
Haya ni mawazo yako na yanapaswa kuheshimiwa mkuu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sishangai sana kwani hata Christian Ronard aliulizwa, what's your favourite subject? Akasema Subject? What the meaning? Mtangazaji akasema okay I mean Mathematics,Physics,English etc. Jamaa akijitia kukumbua eti ooh okay[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wewe naye chenga .. Umesema umeokoka lakini , ukataka kumla huyo binti kabla .. Yeye ndio kakataa... Mimi naona wewe ndio humfai huyo binti kwa kutamka unataka mzigo kabla ya ndoa, huku ukijua nyie ni walokole..Hata hivyo huyo binti au wewe wote mnafanya haraka mmejuana miezi miwili ! muda huo ni mfupi kumchunguza mtu kama anafaa kwa ndoa... Mimi naona una mapungufu mengi kumuoa huyo dada
 
Heri yako wewe mkamilifu mkuu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Bikra? Daah!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole sana mkuu. Ila usikate tamaa pambana, ila pia tiari kupokea msamaha wake
 
Nimependa hiyo phrase, "Sio lazima kujua kila kitu".

Kuhusu umri, usijisahaulishe kwamba wengi wetu tunatofautiana uwezo wa darasani, kuna waliorudia madarasa, waliochelewa kuingia Shule kwasababu mbalimbali n.k.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Aaaah wapi. Hata urudie vipi huwezi maliza na miaka 22 tena mtoto wa kike.
 
Back
Top Bottom