Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Sijaona umuhimu wa kumjua lowasa,

Binafsi nimesikia juzi taarifa za lowasa kufa, sasa hapa sijui kashazikwa au laah, kufuatilia siasa na viongozi wake kitu nimeshindwa.

Na kufuatilia wasanii na nyimbo zao,
 
Piga chini huyo,atakusumbua..anaachaje kutokumjua Lowasa aisee?
 
oa haraka sana huyo. Huyo hata tundu la kuingiza mkishaoana labda wewe ndio umstue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…