Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Kumbe!

Nikiona comment za hivi zinanipa nguvu ya kusonga mbele.
 
Nakuonea uruma xana akuna mtu apo akuna watu wazinifu kama wanaojifanya wanamjua mungu mara nyingi wanakulana wao kwa wao pia nakushaur usije ukaoa muha utakuja kujuta maisha yako yote
Kwani Waha wana changamoto gani mkuu?

Hapo kwenye kumcha Mungu sina mashaka nae. She is real.
 
Muda mwingine hata kama haupendi Siasa, mpira, mziki, ila kuna zile figure kwenye tasnia fulani automatic utazijua tu. Mimi kuna bro mmoja kipindi Pele anafariki, nae alisema hamjui kabisa, nikaona kumbe wakati mwingine ni kawaida tu.. Hatuwezi kufanana, ila dah ndio mtu asimju Lowasa au diamond, eti kisa hafatilii mziki
 
Tumewaza kitu kinachofanana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…