Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Unashangaa huyu mimi kuna jamaa tumesoma nae chuo x" hapa dar esalam (moja ya vyuo vikubwa )tumehitimu miaka ya hivi karibuni haifiki 7yrs lakini

Ajabu nae kaniuliza swali hilo , inaonesha alikuwa analifahamu jina ila akauliza kwani alikuwa ni nani nilichoka kidogo
Kumbe!

Nikiona comment za hivi zinanipa nguvu ya kusonga mbele.
 
Nakuonea uruma xana akuna mtu apo akuna watu wazinifu kama wanaojifanya wanamjua mungu mara nyingi wanakulana wao kwa wao pia nakushaur usije ukaoa muha utakuja kujuta maisha yako yote
Kwani Waha wana changamoto gani mkuu?

Hapo kwenye kumcha Mungu sina mashaka nae. She is real.
 
Unashangaa huyu mimi kuna jamaa tumesoma nae chuo x" hapa dar esalam (moja ya vyuo vikubwa )tumehitimu miaka ya hivi karibuni haifiki 7yrs lakini

Ajabu nae kaniuliza swali hilo , inaonesha alikuwa analifahamu jina ila akauliza kwani alikuwa ni nani nilichoka kidogo
Muda mwingine hata kama haupendi Siasa, mpira, mziki, ila kuna zile figure kwenye tasnia fulani automatic utazijua tu. Mimi kuna bro mmoja kipindi Pele anafariki, nae alisema hamjui kabisa, nikaona kumbe wakati mwingine ni kawaida tu.. Hatuwezi kufanana, ila dah ndio mtu asimju Lowasa au diamond, eti kisa hafatilii mziki
 
Muda mwngne hata kama haupendi Siasa, mpira,mziki, ila kuna zile figure kwenye tasnia flani automatic utazijua tu..mimi kuna bro mmoja kipindi Pele anafariki, nae alisema hamjui kabisa, nikaona kumbe wakt mwngne ni kawaida tu..hatuwezi kufanana, ila dah ndio mtu asimju Lowasa au diamond, eti kisa hafatilii mziki
Tumewaza kitu kinachofanana mkuu.
 
Back
Top Bottom