Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #21
[emoji2][emoji2]Hao waulize dayamondi ni nani na waimba singeli. Maana wengi kwanza wanajuaga Nyerere ndio raisi wa Tanzania na Samia ni mke wa Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2]Hao waulize dayamondi ni nani na waimba singeli. Maana wengi kwanza wanajuaga Nyerere ndio raisi wa Tanzania na Samia ni mke wa Nyerere.
Kumbe!Unashangaa huyu mimi kuna jamaa tumesoma nae chuo x" hapa dar esalam (moja ya vyuo vikubwa )tumehitimu miaka ya hivi karibuni haifiki 7yrs lakini
Ajabu nae kaniuliza swali hilo , inaonesha alikuwa analifahamu jina ila akauliza kwani alikuwa ni nani nilichoka kidogo
hakuna ulazima wa kumjua, haswa kwa mtu aliyekuwa mdogo kipindi hichoLowasa ni public figure mkuu, ukizingatia ile skendo yake iliyopelekea ajiuzulu, aliingia kwenye rekodi.
Kwani Waha wana changamoto gani mkuu?Nakuonea uruma xana akuna mtu apo akuna watu wazinifu kama wanaojifanya wanamjua mungu mara nyingi wanakulana wao kwa wao pia nakushaur usije ukaoa muha utakuja kujuta maisha yako yote
Muda mwingine hata kama haupendi Siasa, mpira, mziki, ila kuna zile figure kwenye tasnia fulani automatic utazijua tu. Mimi kuna bro mmoja kipindi Pele anafariki, nae alisema hamjui kabisa, nikaona kumbe wakati mwingine ni kawaida tu.. Hatuwezi kufanana, ila dah ndio mtu asimju Lowasa au diamond, eti kisa hafatilii mzikiUnashangaa huyu mimi kuna jamaa tumesoma nae chuo x" hapa dar esalam (moja ya vyuo vikubwa )tumehitimu miaka ya hivi karibuni haifiki 7yrs lakini
Ajabu nae kaniuliza swali hilo , inaonesha alikuwa analifahamu jina ila akauliza kwani alikuwa ni nani nilichoka kidogo
Noted, mkuu. Asante.hakuna ulazima wa kumjua, haswa kwa mtu aliyekuwa mdogo kipindi hicho
Tumewaza kitu kinachofanana mkuu.Muda mwngne hata kama haupendi Siasa, mpira,mziki, ila kuna zile figure kwenye tasnia flani automatic utazijua tu..mimi kuna bro mmoja kipindi Pele anafariki, nae alisema hamjui kabisa, nikaona kumbe wakt mwngne ni kawaida tu..hatuwezi kufanana, ila dah ndio mtu asimju Lowasa au diamond, eti kisa hafatilii mziki
[emoji848]Ishu ya bikira na ulokole angalia asije kuzibukia ndoani
[emoji23][emoji23]Watoto wa 2000 unakuta TV yake wasafi TV...
Ungemuuliza unamjua Baba levo?akupe history ambayo hata wewe pengine huijui..[emoji2]
2021Kazaliwa mwaka gani?
Better for you mkuu, tunatofautiana.Mkuu kwanini shemeji alimaliza form four na 23 years huu umri ndio mimi nlikuwa namaliza chuo, hilo na lenyewe lakumuuliza we mwenyewe piga hesabu masta
Toa neno mkuu..Duh aiseee
[emoji28][emoji28]Mwambie ni Rais wa mioyo yetu
Lakini kweli, 2008 wakati mshua anaachia ngazi ya Uwaziri Mkuu bint alikuwa na miaka 3.Sasa binti kazaliwa 2005...mwaka 2015 alikuwa na miaka 10...unashangaa nini,?
Yaah ila mkuu me sijauliZa kw ubaya, anyways nimeelewaBetter for you mkuu, tunatofautiana.
Tafakari vizuri Ulokole wako, isije ikawa unafanya maigizo ukamharibia binti wa mchungaji maisha yake ya wokovu.Bado hatujamshirikisha baba yake ambaye ni Mchungaji kwasababu na mimi nilimuomba anipe muda nijitafakari kama kweli niko tayari kutomuingilia kimwili kabla ya ndoa.