Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Kwani Waha wana changamoto gani mkuu?

Hapo kwenye kumcha Mungu sina mashaka nae. She is real.
uchawi ata kama akiwa mcha mungu vpi roho mbaya kwa familia yako ukimuoa ataki ndugu zako waje kukutembelea kubwa kuliko lote waha wachafu sana ata kama amesoma vp uchaedu upo kwenye damu lingine kuzaa bila mpangilio mwaka mimba mwaka mtoto
 
Mi kuna shemeji yangu mtu mzima kabisa,lakini hamjui Makonda,eti anazani ndiyo Magufuli!!
 
Sasa binti kazaliwa 2005...mwaka 2015 alikuwa na miaka 10...unashangaa nini,?
2015 dogo alikuwa na miaka miwili ila akimuona lowassa kwa tv alikuwa lazima aseme lowassa huyo. Sasa huyo wa kwenu 2015 ana 10 ila hamjui lowassa nashangaa, halafu kwenye civics/uraia si wanawasoma hao viongozi? Ngachoka kabsaaa
 
Wewe kama unataka kuoa mwanamke anayemjua Lowasa au wanasiasa wengine nenda pale msibani kwa Lowasa au kwenye mikutano ya mwenezi. Utapata mke chap
 
Diamond mwenyewe Pana watu hawamjui sembuse lowasa
kuna mrembo wa sa juz kat kaulizwa afcon inafanyikia nchi gani akajbu hajui, kuna mlimbende wa usa aliulizwaga kuhusu ronaldo christiano, akamuuliza mtangazaji, who is ronaldo?
 
Nikichogundua mleta mada una pepo la umaskini .Mtu maskini hujaza kichwani vitu vingi ambavyo hata havina faida yeyote kwake.Huyo Binti ana roho ya utajiri kama ulivyosema ni mjasilia Mali Yuko vizuri .Kutokujua hata Lowasa ni nani Amjue ili iweje?

Wewe mleta mada unajaza kwenye bichwa madude yasiyokuwa na faida yeyote.Kumjua Lowasa kunakusaidia Nini kwenye maisha Yako kama sio tu kujaza ujinga kichwani
 
1. Atakuwa mtoto wa miaka 2010 ikiwa ina maana unataka kuoa underage ndio maana hamfahamu lowassa au
2. Alipokuwa shule kama si mtoto wa 2010 alikuwa kilaza sana kiasi kwamba hata somo la uraia kipindi ambapo varaza la mawaziri halibadiliki hovyo alishindwa hata kuwafahamu.

Hafai kuwa mke
 
Sishangai sana kwani hata Christian Ronard aliulizwa, what was your favourite subject at school? Akasema Subject? What does it mean? Mtangazaji akasema okay I mean Mathematics,Physics,English etc. Jamaa akijitia kukumbuka eti ooh okay🤣🤣🤣
 
Kile kipindi Tundu Lissu anapigwa Risasi Dodoma
Kuna Mtu Tena ni Mkubwa around 32 akawa anasema kwani Tundu Lissu ndio Nani
Nilishangaa kweli yaani
Alikuwa anazuga huyo
 
Sasa si afadhali nimuolee Yesu kuliko Athumani wa Mbagala [emoji28]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Umewasilisha kiutu uzima sana bila kuhukumu. Nashukuru.

Ni kweli tunatofautiana sana kwenye swala la vipaumbele.

Nimepapenda hapo "mke ni vigezo vyako mwenyewe".

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sio lazima kujua kila kitu ila kuna vitu vya kujua. Watu tunamjua mkwawa na hatukuwepo kipindi hicho.

Kama ana miaka 23 saiv ina maana amezaliwa 2000. Imekuaje form four kumaliza na miaka 22. Sio chai hii?
Nimependa hiyo phrase, "Sio lazima kujua kila kitu".

Kuhusu umri, usijisahaulishe kwamba wengi wetu tunatofautiana uwezo wa darasani, kuna waliorudia madarasa, waliochelewa kuingia Shule kwasababu mbalimbali n.k.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…