Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

2015 dogo alikuwa na miaka miwili ila akimuona lowassa kwa tv alikuwa lazima aseme lowassa huyo. Sasa huyo wa kwenu 2015 ana 10 ila hamjui lowassa nashangaa, halafu kwenye civics/uraia si wanawasoma hao viongozi? Ngachoka kabsaaa
Tunatofautiana mkuu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Heri yako wewe tajiri.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Haya ni mawazo yako na yanapaswa kuheshimiwa mkuu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wewe naye chenga .. Umesema umeokoka lakini , ukataka kumla huyo binti kabla .. Yeye ndio kakataa... Mimi naona wewe ndio humfai huyo binti kwa kutamka unataka mzigo kabla ya ndoa, huku ukijua nyie ni walokole..Hata hivyo huyo binti au wewe wote mnafanya haraka mmejuana miezi miwili ! muda huo ni mfupi kumchunguza mtu kama anafaa kwa ndoa... Mimi naona una mapungufu mengi kumuoa huyo dada
 
Heri yako wewe mkamilifu mkuu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Bikra? Daah!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole sana mkuu. Ila usikate tamaa pambana, ila pia tiari kupokea msamaha wake
 
Aaaah wapi. Hata urudie vipi huwezi maliza na miaka 22 tena mtoto wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…