Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Watu aina hiyo ni wasumbufu sana huko mbeleni wakibadilika tabia huwa hawaambiliki.

Kingine huyo angemaliza miaka ya nyuma hata hiyo 3 asingeipata anaonekana ni kilaza mno, sijui hiyo Civics alikuwa anapata ngapi kama jambo dogo tu hilo anashindwa kulijua.
Mkuu, umefanya kitu tunaita "fallacy of generalization".

Halafu mimi natafuta mke, sio kipanga wa darasani; ndio maana matokeo yake ya kidato cha 4 sio 'fact in issue' kwangu.

Kumbuka, kuwa na uelewa wa maswala yanayoendelea duniani hakuna uhusiano wowote na intelligence ya mtu, kuna wenye akili kubwa lakini hawana uelewa wa maswala haya pia.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Alivyokwambia umpe muda aanze kukuchunguza naamini kabisa ukaanza kuvaa suruali za vitambaa umechomekea huku mkononi hukosi biblia kila saa
 
Wait kwahiyo huyo binti pamoja na sifa zote hizo, ila kutokumjua Lowassa tu ndio ukataka usitishe kumuoa hadi ukaamua kuja kuanzisha Uzi humu, kwamba wewe mwenzetu unataka mwanamke mkamilifu katika kila nyanja siyo
Basi mnisamehe wakuu! Ingawa sikuwa na maana hiyo [emoji28]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
uchawi ata kama akiwa mcha mungu vpi roho mbaya kwa familia yako ukimuoa ataki ndugu zako waje kukutembelea kubwa kuliko lote waha wachafu sana ata kama amesoma vp uchaedu upo kwenye damu lingine kuzaa bila mpangilio mwaka mimba mwaka mtoto
Hapo kwenye usafi naku-prove wrong, huyu ni msafi kupita maelezo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom