Mchumba wangu ana matatizo ya kutoa vitu vyeupe kama maziwa ya mgando sehemu za siri

Mkuu kama vyuma vimekaza, hiyo ndio grisi yenyewe. Mods hii Ipelekwe jukwaa la afya huku ataambulia comment zetu wavuta bangi🙄
Jitahidi kuwa una comment kwanza kabla haujavuta hizo bob marley
 
kama huo mtindi haunuki basi kunaweza kusiwe na tatizo
ila kama una harufu hayo sasa ni mengine.
 
Jitahidi kuwa una comment kwanza kabla haujavuta hizo bob marley
Mkuu kwa upupu wa kisiasa unaoendelea nchini nikiacha kuvuta hii kitu unaweza kushangaa nimegeuka gaidi, ama muasi acha nivute tu hii kitu niendelee kuishi maisha nikiwa na furaha.

Ukivuta hii kitu halafu ukasikiliza track kama hii unasahau matatizo yote.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…