Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu na experience zenu haki....[emoji47] [emoji47]Utoko utakua hajiswafi vizur[emoji85] [emoji85]
SawaAiseee nasikiaga ni ugonjwa!!
Ila wazama chumvini tunakutana na mengi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanionea mkuuWatu na experience zenu haki....[emoji47] [emoji47]
Jitahidi kuwa una comment kwanza kabla haujavuta hizo bob marleyMkuu kama vyuma vimekaza, hiyo ndio grisi yenyewe. Mods hii Ipelekwe jukwaa la afya huku ataambulia comment zetu wavuta bangi🙄
Naunga mkono hoja aiseeeee maana wengine hizo maneno ndio tunakulaga wakati wa kudeki....Hamna ugonjwa hapo. Msimpotoshe mwenzenu.
Mkuu kwa upupu wa kisiasa unaoendelea nchini nikiacha kuvuta hii kitu unaweza kushangaa nimegeuka gaidi, ama muasi acha nivute tu hii kitu niendelee kuishi maisha nikiwa na furaha.Jitahidi kuwa una comment kwanza kabla haujavuta hizo bob marley