Mchumba wangu ana matatizo ya kutoa vitu vyeupe kama maziwa ya mgando sehemu za siri

Hahahaha ndo maana unaniona nakuja hadi humu ,, sina mpenzi mkuu yaaan nashinda kiurahisi sanaaaaaa!!.
Inasemekana ulitia mkono kumsaidia yule bwana aliyehisiwa huenda anaupungufu wa akili kutokana na staili yake ya kulala twita na kumka twita na kupulekea kushinda

Vipi kwa upande wake bwana yule ambae baada ya madaktar kuthibitisha utimamu wa akili zake na kumsifia sana, mkono wake si mfupi hata usikufikie kukuunga mkono km we ulivyomfanyia?
 
Hiyo mambo yakawaida Mzee hakuna ugonjwa hapo ukizoea utaona mengi zaidi ya hayo" ila usiogope we piga mambo acha uwoga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kwanza ufaham Mimi ni jasusi alokubuhu ,, Bwana Trump nilimsaidia Ashinde ili kwspamoja tuifanye dunia kua mahali salama kabisaaaa.

Sema hawa watu Wa waloko chini yake ndo wamekuja MPA wakat mgumu sana wakimaaamuzi.

ila msikalie kunisema Mimi tuu,,, MTU mkubwa alopelekea Trump kushinda ni Israel ,,hawa niliwah kuwataja uko nyuma ,mkiwauliza watawapa majibu.

Kuhusu Mimi ,,hapana sihitaj msaada ,nashinda asubuh kweupe.

Siunajua Dunia sasa niya ki "Nationalism" zaid??
 
Shahawa hizo mwenzio kafokia mshindo shahawa hizo bao hilo mabint huwa wanawahi kutoa bao
 
Ukiona mavitu huyaelewi achana nayo nayo fanya vitu vingine
 
hiyo ni kawaida kijana jipongeze kwa kufanya kazi nzuri mpaka ametoa hayo
 
Dk mwaka karejea tena, yeye ana suluhisho
 
Oooooh basi kila LA kheri

Mungu wa Iziraeli atakushindia na we pia,
 
Si ugonjwaa mwambie ajisafishe fresh alafu itakuwa pouwaa
IkishindikN ntafute
 
Mkuu nenda ucheck vaginal candidiasis, au afanyiwe urinalsis!pia hakiksha kama mke wako hayupo mimba, maana inawezekana ana prom [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…