Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

Kuna kitu nilitaka niseme..au basi.
 
Wewe kama sio kijana mdogo mjinga basi ni wa kiume na sio MWANAUME.

Kama mchumba wako au yeyote anayekuhusu ana tatizo, elezea tatizo tu.
Kuseme wewe sijui ni mnyakyusa blah blah blah, huko ni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wote uliowataja hapa.

Jifunze kuwa na kiasi kwa kila jambo ufanyalo!
 
Mkuu; Nakazia. Kama yupo hapa Jamvini saa hii 8:22 am. 03/05/2022, AZINGATIE hayo uliyomwelekeza ni ya msingi sana.👍
 
Unataka mchumba ambaye yupo sawa na mawazo yako? Kwa muda hiyo hali itaisha, maana lazima Kuna jambo la vyakula ama ugonjwa ambao utaibuka na baada ya kutibiwa atakaa sawa, sana sana hapo ni tumbo limejaa gas tu we oa maana ulishaamua, unaweza kumuacha mke Kwa sababu ya kujamba? Yamkini na wewe una tatizo lako ambalo yeye hajalileta hapa
 
Mengine ni ugonjwa .
Mtu anayefanywa hauwezi kumuona akifanya hivyo.
Labda atokwe na haja kubwa
Lakini upepo tu sio kweli
Niliwah kuwa na mtu wa hv alikuwa anajamba non stop usiku lakin yalikuwa hayanuki,nilianza kukihisia labda kiliwah kifukuliwa nyuma lakin kilikuwa kibinti kidogo sana
 
Na wewe jamba...
Maana take hata mchana anakuwa na tumbo la gas ila anafanya controlled flatulence...
Ni vyakula anavyokula vinatengeneza sana gesi tumboni...! Au kama na wewe wala hivyo hivyo vyakula basi mfumo wake wa metabolism uko tofauti kidogo....
 
Mwambie awe anatafuna magnesium kidonge kimoja kila siku nusu saa kabla ya mlo wa usiku. Pia aepuke kula vyakula vinanyosababisha gass tumboni
 
Huu ushauri hatari Sana [emoji1787][emoji1787]
 
Pole sana mkuu ila ebu jaribu kumwambia awe anakunywa maji mengi awezavyo almost zaidi ya Lita sita kwa siku na kila chakula anachokula awe na mboga za majani nyingi mno anasukumizia, hiyo itamsaidia sana kuondoa gas tumboni
 
Huyu atakuwa either na h pylori...au ibs yaan irritative bowel syndrome...haya ni magonjwa yanayosababisha gesi tumboni....kwa sawa mnunulie relcer gel ya maji itamsaidia..
 

[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]daaah asee we jamaa akili zako zinakutosha mwenywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…