Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

Asante kwa taarifa.
Uwe unamsokomezea matambara huko nyuma asiwe anakujambia.
 
Dah
Hii sio nzuri mkuu ina maana ulimkimbia sababu ya matatizo yake ya kiafya wkt ulitakiwa uyamalize
Sikumkimbia,bali tuliachana kutokana na kuwa mbali,baadae nae aliondoka eneo hilo maana alikuwa amekuja tu kwa ndugu yake
 
Umemuharib mtoto wa watu,,, umemtoa malinda huwa unapump hewa mnavotaka kulala ndo hiyo anaanza kutoa wakati wa usiku kama sio wewe basi alipampiwa anavyokuja au kajipampu mwenyewe ba kitu chochote ila itaisha hiyo hali sio muda
 
Sidhani kama lilikuwa jambo la kuleta hapa... ujifunze kuficha mambo ya ndani na kuwa na nidhamu binafsi na kwa mwenza wako pia. Mngechukua maamuzi ya kwenda kwa wataalam wa afya mkapata suluhu pasi na dunia kujua.

GROW UP!
 
Kologa majivu Kisha mwambie anywe mkuu
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Atakuwa anashiba sana. Shibe na kujamba ni pete na kidole.
 
Kwa Uzoefu wangu huyu shemeji yetu atakuwa na tatizo la minyoo, mnunulie dawa za minyoo
Hivi minyoo inachangia kuleta harufu mbaya mdomoni?

Wataalamu mnisaidie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…