Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikumkimbia,bali tuliachana kutokana na kuwa mbali,baadae nae aliondoka eneo hilo maana alikuwa amekuja tu kwa ndugu yakeDah
Hii sio nzuri mkuu ina maana ulimkimbia sababu ya matatizo yake ya kiafya wkt ulitakiwa uyamalize
😅😅😅😅😅Huo ndio mtihani wako, inatakiwa uushinde.Alafu we huna kifua cha kutunza siri 😂
Umemuharib mtoto wa watu,,, umemtoa malinda huwa unapump hewa mnavotaka kulala ndo hiyo anaanza kutoa wakati wa usiku kama sio wewe basi alipampiwa anavyokuja au kajipampu mwenyewe ba kitu chochote ila itaisha hiyo hali sio mudaNatangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.
Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza Chuo ndiyo nikaenda kijijini kumchumbia kisha mm nikarudi Dar kuendelea na kazi wkt taratibu za harusi zinafanyika.
Mwezi wa nne mama mkwe wangu mtarajiwa akapata matatizo ya kiafya,aka andikiwa rufaa aje Muhimbili na mm ndiyo nikawa mwenyeji wao nikawapokea!
Kwa mara ya kwanza nikaanza kulala na mchumba wangu chumbani na ndiyo nikashuhudia mambo ya ajabu sana.Mchumba wangu anajamba ushuzi unao nuka sana non stop akiwa usingizini na yy huwa hajijui kama anajamba maana ukimuambia asubuhi huwa anakataa kabsa.
Nikajua labda shida ni vyakula vya vijijini alivyo zoea na akipata vyakula vya kuungwa vya mjini hali labda itapungua,lkn kinyume chake ndiyo kujamba kunaongezeka na yananuka zaidi.
Kuna jamaa yangu ni daktari alimpa dawa kwa kumdanganga ni dawa ya tumbo lkn haijasaidia.
Hali hii ya uchafuzi wa hali ya hewa chumbani inakatisha sana tamaa,tafadhali kama kuna ushauri wowote hasa kama kuna mtaalam unamjua ana weza tibu tatizo hili naomba uniandikie
Nashukuru sana.
Kologa majivu Kisha mwambie anywe mkuuNatangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.
Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza Chuo ndiyo nikaenda kijijini kumchumbia kisha mm nikarudi Dar kuendelea na kazi wkt taratibu za harusi zinafanyika.
Mwezi wa nne mama mkwe wangu mtarajiwa akapata matatizo ya kiafya,aka andikiwa rufaa aje Muhimbili na mm ndiyo nikawa mwenyeji wao nikawapokea!
Kwa mara ya kwanza nikaanza kulala na mchumba wangu chumbani na ndiyo nikashuhudia mambo ya ajabu sana.Mchumba wangu anajamba ushuzi unao nuka sana non stop akiwa usingizini na yy huwa hajijui kama anajamba maana ukimuambia asubuhi huwa anakataa kabsa.
Nikajua labda shida ni vyakula vya vijijini alivyo zoea na akipata vyakula vya kuungwa vya mjini hali labda itapungua,lkn kinyume chake ndiyo kujamba kunaongezeka na yananuka zaidi.
Kuna jamaa yangu ni daktari alimpa dawa kwa kumdanganga ni dawa ya tumbo lkn haijasaidia.
Hali hii ya uchafuzi wa hali ya hewa chumbani inakatisha sana tamaa,tafadhali kama kuna ushauri wowote hasa kama kuna mtaalam unamjua ana weza tibu tatizo hili naomba uniandikie
Nashukuru sana.
Watu wanapikia gas siku hiziKologa majivu Kisha mwambie anywe mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16]Mtafutie zile chupi za mieleka halafu connect tube kwa nyuma iende mpaka nje ya chumba,
Mchuchu akiachia yusuph inakuwa no effect Maana ushuzi utaenda nje. Hii Ni quick fix approach, It only solve the problem temporary.
Main problem remained unsolved madaktari wanakuja.
Hivi minyoo inachangia kuleta harufu mbaya mdomoni?Kwa Uzoefu wangu huyu shemeji yetu atakuwa na tatizo la minyoo, mnunulie dawa za minyoo