Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

umeshasema mchumba, hapo unazini, sio mke. ila angekuwa mke ningekwambia kuwa haujui kumfanya vizuri, kama ungemfanya vyema yeye ndo angeanza kuomba siku inayofuata. nimeshakutobolea siri. hao wanawake sisi wenzako tunawajua sana.
 
Kuna wanawake ukitaka mechi kama unamtongoza upyaaa hata Kama ni mke tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah! Istoshe nishawah kuwa na wanawake wa aina tofaut kwenye hili swala huwa hawatanii sometimes walikua wananianza wenyew nashangaa kwa huyu wala hana habar sometimes anaweza kuingia kweny sku zake bas zitafika siku 10 or 12 mech ujapewa
 
Yeye ndo mume, wewe hapo ndo UMEOLEWA.
Kuwa na adabu kwa MUMEO.
 
umeshasema mchumba, hapo unazini, sio mke. ila angekuwa mke ningekwambia kuwa haujui kumfanya vizuri, kama ungemfanya vyema yeye ndo angeanza kuomba siku inayofuata. nimeshakutobolea siri. hao wanawake sisi wenzako tunawajua sana.
Nimemwambia kadai kisa kakubali kutolewa mahari na karidhika nae[emoji38][emoji38]
 
Weka picha kama ni africana Najua watu wote au nitumie dm

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Dah! Istoshe nishawah kuwa na wanawake wa aina tofaut kwenye hili swala huwa hawatanii sometimes walikua wananianza wenyew nashangaa kwa huyu wala hana habar sometimes anaweza kuingia kweny sku zake bas zitafika siku 10 or 12 mech ujapewa
Kaa nae muulize kwanini hapendi kuduu kila mara, muulize mkiwa mpo na amani sio mmenuniana tena uonyeshe kutabasam wakati unamdadisi
 
Piga chini ndugu,ndoa ni furaha sasa nani akupe Raha?au anataka uchepuke, the early is better kwa kukuonesha hizo ishara jee baada ya ndoa itakuwaje?usijipe ma hope yaje yakuletee stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…