Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Nina mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari.

In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza kusubiri hata saa zima bado anasema chakula hakijashuka.

Kama ni usiku basi hadi utapitiwa na usingizi hujapewa jambo na pakikucha maybe alfajiri anasema haweza kunyanduana nifanye nini kwa hapo ushauri wenu.

Natanguliza shukrani.

Kama Ana umri chini ya miaka 30, kuna mtu anamla; halafu cha asubuhi sio kila siku sio chai hiyo!

Kwa kifupi wacha Mahari tu maana ataja kukusumbua sana baadae, achana naye
 
Ipo hiviii... Nilijuana nae mwaka jana alikua akiishi mbezi Afrikana nikamshawishi , na yeye bila hiyana akanikubalia safi bila tatzo. Mimi ni muajiriwa kampuni fulani mjini mara nyingi saa 10 or 11 alfajiri huwa naenda kazini sasa ikawa anakuja mtaani naweza kumnyandua mara moja and alfajiri simnyandui wala nn coZ nahofia kumwamsha usngizini maybe atamaind.

Kama akija nilikua nanyandua mara moja bas nalala asubuh yeye akiamka anaenda mishemishe zake na mimi mishemishe zangu. Mwez wa 12 tukaelewana nipeleke barua kwao bila hiyana alikubali, nikapeleka bila tatzo. Majibu yalirud safi alhamdulillah nikakubaliwa na mahari ikapangwa kama 1.2M.

mwez wa 5 nilipeleka mahari kwao kama 700k nyingine deni ad leo na nikamuomba tuish kidogo kama maswala ya ndoa tukijipanga tutakamilisha. Sasa kwenye swala la kunyanduana nilizani maybe kwa sababu sjatoa mahari datz why ananifanyia hivyo kumbe na nikitoa atabadilika, kuumbe ni tofaut na matarajio yangu.

Naweza kuwa nna ugum kinomaaaa nikiomba game mara niambiwe tumbo linaniuma, au subiri baadae na nikiambiwa baadae ni baadae kweli i mean hata kukumbushia halumbushii, mda mwingine ntaambiwa subiri chakula kishuke ndo tutaduu hapo utasubir kama lisaa lizima na mwenzio wala hana habar na kama ni usiku kama ni usingizi utakuchukua bila kuduu.

Kingine asubuh na kijiubaridi cha Darisalam Hasani kichwa lazma asmame nikimshirikisha mwenzangu hatak in short skumbuki lini nilipewa asubuh na huyu duu. Ushauri hapo nifanye vipi napata tabu kinomaaaa.... unga huu uzi mkuu msaada
daaah..me kuomba mzgo sijui, nikiwa na mtu kwenye mahusiano yan kama simba hawapo uwanjani naweka anytime anyday...me wa hivyo simuwez, mwanamke wako unamla kama unakula malaya ndio nini ivyo ?
 
Ningekuwa mimi, asiponipa cha asubuhi namvizia usiku amelala, nachomeka mb.oo kimya kimya....naanza kuchochea moto, hapo lazima a-respond
Mkuuu hiyo si ni kubaka kabisa, ni heri mwanamke ambake mwanaume kuliko mwanaume kumbaka mwanamke, kesi hiyo au hujasikia mwanamke anasema nimebakwa miaka kumi kwenye ndoa ndo hiyo sasa😂
 
Inawezekana kuna vitu vinamsumbua uyo shemeji, ukute anawaza ndoa lin utamuoa sasa anahisi akikupa kitumbua anahisi kuna kitu atapunguza kwake jitaidi umuoe mtoto wa watu alafu uone kama ataendelea kuwa ivyo
 
Kuna siku niliwahi kusema humu kwamba hakuna mwanamke wa kuendana na kasi ya kutaka ngono tuliyonayo wanaume.

Michepuko inakua kama vile haiepukiki. Walio kwenye ndoa wanaongoza kupiga puchu kuliko mabachela sababu ni hizi hizi.
Wapo wachache mkuu very rare pieces!
 
Sometimes hata kupewa bas utapewa ili mradi ham iishe tu atatanua miguu ukimalza anabana miguu show imeisha
Duh, mkuu hio sign usiipotezee kabisa! Huyo mwanamke yupo na wewe ilimradi hakupendi.

Mwanamke kukupa sex ilimradi ni kuwa hana hisia na wewe na ataenda kukutesa mbeleni huko. Jitahidi uachane nae for the better.
 
Back
Top Bottom