Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Umenichekesha πππ,,, sijui nimewaza nini mimi lakini π€£π€£ππMkuu hayanaga formula ππ wakati baba nyumbani anaogopwa na kila mtu yuko 50's kuna kitoto huko cha chuo 20's kinampelekesha balaa , msaidie kijana !