Umenichekesha πππ,,, sijui nimewaza nini mimi lakini π€£π€£ππMkuu hayanaga formula ππ wakati baba nyumbani anaogopwa na kila mtu yuko 50's kuna kitoto huko cha chuo 20's kinampelekesha balaa , msaidie kijana !
Inabidi awe tu mpole,, maisha hayataki usiliaziπWanaitana wachumba kabisa π wakati kuna kipengele wamekiruka
NakaziaChakula cha boss
Asije akauponzaInabidi awe tu mpole,, maisha hayataki usiliaziπ
Mpe moyo mwenzako πChakula cha boss
Kwakweli ππAsije akauponza
Mda hautoshi anko,, tumwambie tu kabisa ajue mojaπ€π€Mpe moyo mwenzako π
Mwambie kuwa boss anataka Binti awe makini na kazi, ndio maana hataki atumie simu π πMda hautoshi anko,, tumwambie tu kabisa ajue mojaπ€π€
Hahahπππ, mtu mzima huyo anaelewa kila kitu..basi tu anajitoa ufahamuππMwambie kuwa boss anataka Binti awe makini na kazi, ndio maana hataki atumie simu π π
Dhumuni la kuanzisha huu Uzi, ni ili apewe Faraja. Nyie mnazidi kumtishaHahahπππ, mtu mzima huyo anaelewa kila kitu..basi tu anajitoa ufahamuππ
Basi sawa,, tumwambie boss hataki mzaa kwenye kazi yake awe anampigia asubuhi au mchana,usiku amuache afanye kazi alizopewa na boss kwa makini bila usumbufu..au hapo napo bado πππDhumuni la kuanzisha huu Uzi, ni ili apewe Faraja. Nyie mnazidi kumtisha
Boss usiku anambembeleza alale[emoji1787]Basi sawa,, tumwambie boss hataki mzaa kwenye kazi yake awe anampigia asubuhi au mchana,usiku amuache afanye kazi alizopewa na boss kwa makini bila usumbufu..au hapo napo bado [emoji2][emoji2][emoji2]