MWANDENDEULE;
Mbona umejiletea taab mwenyewe?? Unauliza swali hili huku watu si watakutia kichaa?? Usiogope mchumbako ni mchumba tu, hatabadilika. Uzuri wa ile kitu hainaga alama. Hata alipokuwa na weye, sidhani kama weye ulimkuta bikra. Je, aliwahi kukuambia weye ni wa ngapi kwake kuanzia aliyemtoa usichana wake??
Kama unampenda kweli, acha wivu. Elewa kwamba pale ccp ni marufuku kuruti kuwa na simu. Aheri akutwe na msokoto kuliko simu. Sasa kama mna chart naye, huoni maajab hayo?? Huenda boss yupo zam yeye analinda mbu wasiingie kwenye neti. Wala si utani, kuruti haruhusiwi kuvaa pichu. Usimuwazie, mwache akimaliza arudi akitaka kuendelea utafurahia tuuu wala usiulize wangapi walifuata baada ya weye mara ya mwisho.Pole na mawivu yako yasije kukuua