MWANDENDEULE
Unapenda kujua ukweli?Haya ujue ukweli huu:1.kule kuna wanaume na mapenz pia yapo,hivo atapendwa na watatoa tu.2.Akimaliza atakuwa na mawazo tofauti kabisa na aliyokuwa nayo hapo awali juu yako.hivo hatarudi akwambie eti nioe,hiyo sahau.3,kuolewa kwa polisi miaka3 si 5,hivo huna haja ya kusema umsubiri sab akirudi hatakuwa pekee yake.OA kaka.

Last edited by a moderator: