MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
- Thread starter
- #81
PM me nikupe ukweli.
Nimeshaku-pm tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PM me nikupe ukweli.
Ahsante kwa kunijuza.
Vipi lakini uwezekano wa mtu kuacha kazi hiari baada ya mda fulani inaruhusiwa? na kama wanafanya kazi kwa mkataba, mtu anaweza toa ombi la kuacha kazi baada ya muda gani?
MWANDENDEULE hapa town nikiamka saa kum na moja nawakuta barabani wanapiga mchakamchaka na kuimna nyimbo kama hawana akili nzuri!!! Kwa wanavyodau kuamka ni saa nane usiku saa tisa tizi inaanza duuuuuhh yan nawaoneaga huruma!!! Kuna mmoja nilimuona anaachwa nyuma kila siku sijui ndo demu wako????? Kwa kifupi akimaliza jiandae kushika adabu...maana ukileta ujinga utakuta unapigwa makofi na virungu mbele za watoto!!
Kujua ukweli kama kaenda kule au la tayari nimejiridhisha kwa hilo na kweli yeye yuko ccp na namba aliyotumia ni ya hapo ccp.Kama aliweza kwenda ccp bila kukupa taarifa utawezaje kumshauri aache kazi akakuelewa? Kwa wazo lako hilo nakushauri uachane nalo, acha afanye kazi aliyoichagua hata kama wewe huipendi.
Umesema mchumba wako ameenda ccp tena bila kukutaarifu mapema, hapo unaweza kuniambia unadhani ni kwanini hakukujulisha mpango wake huo?
Umesema alikupigia simu kwa namba usiyoijua, je umechunguza namba hiyo ni ya nani na kwanini akupigie kwa namba hiyo na si ile unayoijua wewe?
Una uhakika kama ni kweli yupo ccp moshi na sio yupo na mwanaume mwingine na anatumia jina la polisi kukufunga mdomo ili usimfuatilie?
Ningekushauri jambo lakini kwa kuwa wewe ndiye unayemfahamu vizuri huyo mwenzako basi wewe ndio unatakiwa kujishauri na kuamua nini kifanyike.
Jambo la kukusisitizia tu ni kuwa ikiwa ni kweli yupo huko alipokuambia hesabu huna chako na kitendo cha yeye kufanya michakato bila kukushirikisha ndio dalili yenyewe ya kwamba hakuheshimu na hajali mawazo yako au vinginevyo ujue wewe ulikuwa unamchagulia kitu asichokitaka hivyo akaamua kufanya suala la kwenda ccp liwe siri ili usije kumsumbua.
Fanya uchunguzi kwanza kujua kama namba aliyokupigia ni yake au aliazima, kama ni yake basi tumia hiyo kumtafuta siku za jumatatu hadi ijumaa hasa nyakati za asubuhi na mchana kwa muda fulani utaweza kujua kama kweli yupo chuoni ccp au la! akipatikana kwenye simu nyakati hizo jua kuwa hayupo ccp(sijui kama ccp wanaruhusu kutumia simu).
Tafuta habari kwa ndugu na marafiki zake wa karibu, ukiona bado hujapata ukweli, vuta subira tu, muda utakuwa mkweli kwako, ni suala la muda halafu utajua mbivu na mbichi ipi.
Muulize mleta mada ampigie akipata jibu atakuambia. au ingia hapa waulize CCP watakujibu. https://www.google.com/search?q=ccp moshi&gws_rd=sslUnawaona barabara gani wakipiga mchakachaka?
Hapo kwenye rangi ya bluu ndicho nilichokihisi kwenye post yangu ya hapo awali.Kujua ukweli kama kaenda kule au la tayari nimejiridhisha kwa hilo na kweli yeye yuko ccp na namba aliyotumia ni ya hapo ccp.
Kuhusu kwenda bila kuniaga kwa maelezo yake alivyosema siku kanicheki kwa namba ngeni ni kuwa baada ya kwenda huko mwanza waliafikiana na shangazi yake aende tu ccp na kwa vile mimi nilikuwa nimeshamshauri asiende huko na badala yake aende college toka alipofanya usaili na kupita akaona aende kimya kimya kwani alihofia ningetia ngumu. Amefika huko ccp akaona anitaarifa akianza kwa kuomba msamaha kwa kwenda bila kunitaarifu lakini kaahidi kuwa mwanminifu kitu ambacho si rahisi kuamin, you know women ain't trustful na hiki ndo kikanipa shida sana kwamba huko atakuwa salama au makoplo hujisevia kila wamtakaee maana mimi sina uzoefu na mwmbo ya huko mbali na kusikia tu kwa watu.
Kingine nimewasiliana na dada zake wawili tofauti wameonekana kusikitishwa na kitendo cha kwenda bila kuniaga na wanasema wao walikuwa wanajua alinitaarifu juu ya hili hata kabla ya kuwatarifu wao nyumbani punde tu shangazie aliposisitiza aende ccp na yeye kuridhia.
Muulize mleta mada ampigie akipata jibu atakuambia. au ingia hapa waulize CCP watakujibu. https://www.google.com/search?q=ccp moshi&gws_rd=ssl
Amani iwe nanyi.
Ndugu zangu nimeona vyema nije kwenu mnipe msaada wa kimawazo kwani nimechanganyikiwa kabisa hata usingizi sijapata usiku wa leo hii ni baada ya kupokea text kutoka kwa mpenzi/mke wangu mtarajiwa kuwa yuko moshi chuo cha polisi kitu ambacho kwa kweli sikutaka aende huko badala yake akasome chuo kozi yoyote ambayo angependa mwenyewe kutokana elimu yake (kidato cha nne).
Kaenda CCP bila kuniaga japokuwa najua alifanya usaili na kapata nafas ila baadae tulikaa tukakubaliana nimtafutie chuo na kweli nikafanya hivyo na chuo nikawa nimepata na alitakiwa aripoti chuo jumatatu (14/09/'15). Wakati mimi nafanya maandalizi yake ya kwenda chuo aliniaga aende kumuaga shangazi yake Mwanza nikamruhusu, cha ajabu amefika huko (nilivyokuwa naamini kaenda mwanza) kawa hapatikan hewani mimi nikajipa matumaini kuwa ni tatizo la chaji kwa kuwa sehemu nyingi zinakabiliwa na kukatika katika kwa umeme nchini.
To my surprise, usiku wa leo nikapata sms kutoka namba ngeni ila nikajua ni yeye kwani niko nae yeye pekee, baada ya kuchati nae kidogo kaniaga akisema, " kwa heri baby, kuwasiliana hadi mwakani"Sikujali maneno yake ila karudia tena kusema ndo nikamwuliza kulikon akaanza kwa kuomba msamaha kisha akasema, "niko Moshi CCP". Nilihisi kuchanganyikiwa na siko vizuri kimawazo saivi kwani sina imani kama atarudi salama baada ya mafunzo.
Ndugu, naomba mnipe mwanga kuhusiana na usalama wa watoto wa kike huko chuoni na uwezekano wa raia wa kawaida kumwoa askari kama huyo. Au ndo nianze mchakato wa kumtafuta mrithi wake? Kingine askari anaruhusiwa kuolewa baada ya mda gani tangu ahitimu mafunzo ama aanze kazi?
Nimewasiliana nae tu jana lakini kasema hatakuwa hewani tena na mimi sijaicheki namba hewani tena kwa sababu hiyo ya kutokuruhusiwa kuwa na simu.
Kuhusu ubikira, hilo bila kuficha demu nilimkuta kitu hakijaguswa kabisa-I love that lady indeed
kiukweli kuchapiwa ni lazima ila atarudi
Acheni mambo ya ajabu bana...kama unataka kutafuta mwanamke mwingine wewe tafuta tu ila sio kwa kuanza kumhukumu binti wa watu. tena nisisikie ukimwambia nakuacha kwa sababu umeenda polisi.
Pili bado ni binti mdogo ana haki yote ya kuwasikiliza wazazi wake kabla yako. Ungekuwa mchumba wake hata familia ingekushirikisha kwenye maamuzi ya nini afanye..heshimu uamuzi wa Kwa ushauri huuu nimekupenda buree tyuu yaani. Mmmwaaah! Mungu akujalie hekima zaidi
Kwa ushauri huuu nimekupenda buree tyuu yaani. Mmmwaaah! Mungu akujalie hekima zaidi
Acheni mambo ya ajabu bana...kama unataka kutafuta mwanamke mwingine wewe tafuta tu ila sio kwa kuanza kumhukumu binti wa watu. tena nisisikie ukimwambia nakuacha kwa sababu umeenda polisi.
Pili bado ni binti mdogo ana haki yote ya kuwasikiliza wazazi wake kabla yako. Ungekuwa mchumba wake hata familia ingekushirikisha kwenye maamuzi ya nini afanye..heshimu uamuzi wa familia yake.
tatu, kwenda polisi kwako unatakiwa umshukuru sana kwani baada ya hapo atakuwa na ajira yake hata kama ataamua kusoma haitakuwa kwa mzigo wako. Ukome kabisa kumsimanga huyo mtoto kwa sababu zako binafsi.
nne uchumba na watoto wa shule ulianza lini? maana walioenda ccp kwa kidato cha nne ni wale waliomaliza kidato cha nne 2014. Kwa mantiki hiyo ulianza mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi na huoni aibu kuja kutushirikisha kosa lako la jinai hapa.
tano GROW UP MAN! ukisikiliza kila unalolisikia hutadumu kwenye mahusiano yoyote...!!!
Well said, unajua jamaa atakua anachepuka kwanini awaze kuchapiwa?
Unajua Mwizi always anahisi aibavyo ndivyo wafanyavyo wengine. Amwache mtoto wawatu akasome, alafu nahisi huyu jamaa bado chalii sana.
Si kweli usemavyo.
Kuna vitu ambavyo ni obvious.
Mazingira mengine ya kazi yanatia wasiwasi.