Tigga Mumba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 746
- 473
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.
Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.
Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.

umesema anakupenda...sidhani kama kuna tatizo hapo mkuu...ungeniambia hajaseto hapo ingekuwa ishu.halafu jua kwamba uzuri wa kitu upo machoni mwa mtazamaji...
Mchape mimba fasta, kisha tangaza ndoaWanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.
Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.
Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.
mchape mimba fasta, kisha tangaza ndoa
jaman jaman jaman sasa katika hili usaidiwe nini?
wakusaidieK ukukodishia komesha security wamlinde?
wakusaidie kwa kukuambia achana nae?
AU KAKA UMELETA TAARIFA TU TUJUE MCHUMBA AKO NI MZURI..UONEKANE UMEOPOA NAWEWE?
CZ SJAONA SHDA YEYOTE KATKA ILO
wengne ohh mimi handsma demu wako anaogopa braaaabra ....
wengne ohh demu wangu mzuri sana......ana mvuto....ivi nan ana demu asiyekuwa na mvuto/mzuri?
unachokiona kwako kizuri/kinavutia ..si lazima kiwe ivo kwa wote..
..labda.wenzako wanaulizana ahh uyu nae kafata nini kwa uyu demu..mbona mbaya ivi?mvuto nehii...
ANYWAYS HONGERA KWA KUOPOA ..KITU CHENYE MVUTO KM SUNSHINE....
Aliyeleta hoja hii ni mdada kama sijakosea, lolMchape mimba fasta, kisha tangaza ndoa
Mchape mimba fasta, kisha tangaza ndoa
Rose1980 umeua sana
Isije ikawa ni yule Mr Handsome kana na story nyingine humu
Duh umeua
ili mvuto upotee afu kak abak na aman..WENGNE MVUTO NA UZURI UZIDI MARADUFU WAKIWA ...:mimba:
SULIHISHO APO NI KUMPAKA RAMI USON..au wwaonaje braza wivu?
km si yeye bas atakuwa mshkaji wake
asi unajua tena shule zimefungwa
au kitu cha 1st yr chuo ndo swaga zao izi...demu wangu ivi..man wangu vile..mshkaji wangu kafanya ivi..ahh yaan ni vipepeo tu vnaruka ruka!
Taratibu bas yamemtosha vp kwan ulimpania, ila na yeye kayatafutajaman jaman jaman sasa katika hili usaidiwe nini?
wakusaidieK ukukodishia komesha security wamlinde?
wakusaidie kwa kukuambia achana nae?
AU KAKA UMELETA TAARIFA TU TUJUE MCHUMBA AKO NI MZURI..UONEKANE UMEOPOA NAWEWE?
CZ SJAONA SHDA YEYOTE KATKA ILO
wengne ohh mimi handsma demu wako anaogopa braaaabra ....
wengne ohh demu wangu mzuri sana......ana mvuto....ivi nan ana demu asiyekuwa na mvuto/mzuri?
unachokiona kwako kizuri/kinavutia ..si lazima kiwe ivo kwa wote..
..labda.wenzako wanaulizana ahh uyu nae kafata nini kwa uyu demu..mbona mbaya ivi?mvuto nehii...
ANYWAYS HONGERA KWA KUOPOA ..KITU CHENYE MVUTO KM SUNSHINE....
KHA!
Na wewe wa UDOM nini?
njoo umfiche huku mtaani kwetu, wanaume mahendsam ni wachache mno, mi ndo rais wao na kwa kuwa nimeshalijua tatizo lako nitakuwa napiga nae tu story usiku na mchana tutakuwa tunaosheana mtaani. Usihofu mi sitamla tunda.WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.