Mchumba wangu ni mzuri sana

Mchumba wangu ni mzuri sana

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
746
Reaction score
473
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.
Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.
Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.
 
Naomba nirudi baadae kuchangia hapa
 
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.
Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.
Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.

umesema anakupenda...sidhani kama kuna tatizo hapo mkuu...ungeniambia hajaseto hapo ingekuwa ishu.halafu jua kwamba uzuri wa kitu upo machoni mwa mtazamaji...
 
Umemjibu vyema
Ni kigezo gani ametumia kutuambia kuwa huyo gal wake ni mzuri
Nani amemuambia kuwa ni mzuri
Na je ametulia
Anaridhika kuwa nae au yupo yupo tuu
Then nitarudi kutoa ushauri
 
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.
Mchape mimba fasta, kisha tangaza ndoa
 
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.
Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.
Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.

jaman jaman jaman sasa katika hili usaidiwe nini?
wakusaidieK ukukodishia komesha security wamlinde?
wakusaidie kwa kukuambia achana nae?
AU KAKA UMELETA TAARIFA TU TUJUE MCHUMBA AKO NI MZURI..UONEKANE UMEOPOA NAWEWE?

CZ SJAONA SHDA YEYOTE KATKA ILO

wengne ohh mimi handsma demu wako anaogopa braaaabra ....
wengne ohh demu wangu mzuri sana......ana mvuto....ivi nan ana demu asiyekuwa na mvuto/mzuri?

unachokiona kwako kizuri/kinavutia ..si lazima kiwe ivo kwa wote..
..labda.wenzako wanaulizana ahh uyu nae kafata nini kwa uyu demu..mbona mbaya ivi?mvuto nehii...

ANYWAYS HONGERA KWA KUOPOA ..KITU CHENYE MVUTO KM SUNSHINE....
 
Rose1980 umeua sana
Isije ikawa ni yule Mr Handsome kana na story nyingine humu
Duh umeua
 
km si yeye bas atakuwa mshkaji wake
asi unajua tena shule zimefungwa
au kitu cha 1st yr chuo ndo swaga zao izi...demu wangu ivi..man wangu vile..mshkaji wangu kafanya ivi..ahh yaan ni vipepeo tu vnaruka ruka!
 
ili mvuto upotee afu kak abak na aman..WENGNE MVUTO NA UZURI UZIDI MARADUFU WAKIWA ...:mimba:

SULIHISHO APO NI KUMPAKA RAMI USON..au wwaonaje braza wivu?

Awe anamficha chumbani asitoke wala sokoni wala kanisani au msikitini asiende na akitaka wanatoka wote kwenye gari vioo giza asionekane na asitembelee maeneo yenye watu kabisa
 
km si yeye bas atakuwa mshkaji wake
asi unajua tena shule zimefungwa
au kitu cha 1st yr chuo ndo swaga zao izi...demu wangu ivi..man wangu vile..mshkaji wangu kafanya ivi..ahh yaan ni vipepeo tu vnaruka ruka!

Hawa ni wale wale
Dem wangu mzuri ana mvuto na mwingine mi handsome bana
 
jaman jaman jaman sasa katika hili usaidiwe nini?
wakusaidieK ukukodishia komesha security wamlinde?
wakusaidie kwa kukuambia achana nae?
AU KAKA UMELETA TAARIFA TU TUJUE MCHUMBA AKO NI MZURI..UONEKANE UMEOPOA NAWEWE?

CZ SJAONA SHDA YEYOTE KATKA ILO

wengne ohh mimi handsma demu wako anaogopa braaaabra ....
wengne ohh demu wangu mzuri sana......ana mvuto....ivi nan ana demu asiyekuwa na mvuto/mzuri?

unachokiona kwako kizuri/kinavutia ..si lazima kiwe ivo kwa wote..
..labda.wenzako wanaulizana ahh uyu nae kafata nini kwa uyu demu..mbona mbaya ivi?mvuto nehii...

ANYWAYS HONGERA KWA KUOPOA ..KITU CHENYE MVUTO KM SUNSHINE....
Taratibu bas yamemtosha vp kwan ulimpania, ila na yeye kayatafuta
 
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.
njoo umfiche huku mtaani kwetu, wanaume mahendsam ni wachache mno, mi ndo rais wao na kwa kuwa nimeshalijua tatizo lako nitakuwa napiga nae tu story usiku na mchana tutakuwa tunaosheana mtaani. Usihofu mi sitamla tunda.
 
duh! Nimewaelewa waungwana. Ni kweli uzuri ni machoni pa mtu lakini kuna glowing beauty. Anyway I just wanted to share with great thinkers, kwa yeyote aliye au anaye experience kama navyojisikia nitashukuru kunipa supportive advice.
Kuhusu show off au mr. Handsome, hakuna umuhimu wa mimi kushow off tena kwa post. Nimeshare na watu ninaowaamini.
 
Wallah Rose siku nkiwa na shughuli ya kumsuta mtu mtaani ntakukodisha dah..nimecheka hadi nimelia!! alokuloga kafa
 
Back
Top Bottom