Tigga Mumba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 746
- 473
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.
Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.
Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.
Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.
Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.