Nashukurumi kwa ushauri, lkn kiukweli maisha ni magumu sn mwanamke kua golikipa sio ishu,anatamani kusomea mambo ya hotelia certificate level only,nafikiri sn jamani nieleweni elimu sio sababu lkn je kwamaisha haya tutatoka?mi namwona km ni mvivu
hata km ww ni std.7 ila ukute una biashara au kaz ya kukupatia kipato angalau, me mambo ya kuwa tegemezi ndio cyataki kbs hapaMbona huyu niliye nae mimi ni std 7 na maisha yanakwenda tu
Hapa kuna shida, jamaa mawazo aliyonayo ni kuwa na mwanamke aliyesoma. Hata mmshauri vipi bado hicho kitu kitamsumbua. Kuliko baadae mje muanze oooh ndiyo maana hujasoma mara ulikataa shule, fikiria mara mbili kabla hujaenda kwenye hatua ya kuoana. Hapa utapata ushauri wote mzuri na watu wenye uzoefu, lakini kama ww mwenyewe kwa mtazamo wako unafikiri vingine itakuja kukusumbua baadae.
Soma yote na uyazingatie lakini baadae fanya maamuzi kufuata moyo wako unasemaje.
Good luck.
Mchumba,wajamani nina tatizo ambalo ni siriaz naomba msipuuzie,nina mchumba nimempenda na si ishi nae mwaka ss umeisha,kuna shida moja nampenda sn na yeye ananipenda shida ni kwamba mi niko chuo kikuu yeye ameishia form 4,alifel nimemwambia arisit pepa hataki nami nataka awe na ht credit ili asomee ht ualimu hataki,nataka nimuache,manake nikifikiria maisha nadata kwani nimagumu sn kwa wawili km hamtajituma kwenye kazi na kuzalisha,nifanyeje wakuu ushauri wenu ni wamuhimu