du rugendo s.h
Member
- Mar 14, 2015
- 24
- 12
Awe mcha "mungu " hivi bwashee unamjua mungu uliyemtaja?Natafuta mchumba wa kitanzania,awe kati ya umri wa miaka 35-40.Mie kwangu nina miaka 43 na awe ametokea mikoani,mtulivu na mcha mungu na kama ana mtoto awe mmoja wa kike,umri chini ya miaka kumi nimeajiriwa na ninao uwezo wa kumpa mtaji aanzishe biashara ndogo kwa minanjiri ya mahitaji madogo madogo,mengine ya kujikimu nitang'aramia.mimi niko kenya.
Ukiwa na niamka 20 's Tena Ukiwa chuo..wamiaka 30 and above unawaona wazee Sana..[emoji2][emoji2][emoji2]....Kama nakuelewa hiviMkuu mbna kama n mzee sana ...........si ulisikia yule mzee mwenzako aliefia guest na binti.......
Chukua hatua hawa viumbe wanaua
Changamkia fursa hiyo, shauri yakoAwe ametokea mkoani hapo [emoji848]
Alitakiwa kuandika Mungu sivyo?Awe
Awe mcha "mungu " hivi bwashee unamjua mungu uliyemtaja?
mungu = shetani jifunze Biblia utaelewa tu uandishi unaofaa unapolitaja jina la Mungu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]bro.Una mpango gani na huyo mtoto wa kike wa single mother unaye mtaka?
..........😂😂ebu tumshaur kwanza mtoa post ....then yetu tudiscuss baadaeUkiwa na niamka 20 's Tena Ukiwa chuo..wamiaka 30 and above unawaona wazee Sana..[emoji2][emoji2][emoji2]....Kama nakuelewa hivi
[emoji1787]umri umeniangushaChangamkia fursa hiyo, shauri yako
NdiyoAlitakiwa kuandika Mungu sivyo?
Mbona Mimi pia nikiwa Dom..nawaita wa nje ya Dom..wamkoani...unachukia Nini?Hili neno Mikoani linaniumiza sana yani ni sawa na atakayesema kiba[emoji817], nachukia sanaaaa. Cjui mnatuonaje? Kwamba kuna wa Mkoa na Mikoani?
Yaani Dar haina nafasiAwe ametokea mkoani hapo [emoji848]
Sasa kwan dar siyo mkoa? 😁Mbona Mimi pia nikiwa Dom..nawaita wa nje ya Dom..wamkoani...unachukia Nini?
Vitu vya kuchukia Ni Tabia zako na kuzibadilisha...
Pole Kama unakibamia