Mchumba

Mchumba

Joined
Mar 14, 2015
Posts
24
Reaction score
12
Natafuta mchumba wa kitanzania,awe kati ya umri wa miaka 35-40.Mie kwangu nina miaka 43 na awe ametokea mikoani,mtulivu na mcha mungu na kama ana mtoto awe mmoja wa kike,umri chini ya miaka kumi nimeajiriwa na ninao uwezo wa kumpa mtaji aanzishe biashara ndogo kwa minanjiri ya mahitaji madogo madogo,mengine ya kujikimu nitang'aramia.mimi niko kenya.
 
Awe

Awe mcha "mungu " hivi bwashee unamjua mungu uliyemtaja?

mungu = shetani jifunze Biblia utaelewa tu uandishi unaofaa unapolitaja jina la Mungu
 
Mkuu mbna kama n mzee sana ...........si ulisikia yule mzee mwenzako aliefia guest na binti.......

Chukua hatua hawa viumbe wanaua
Ukiwa na niamka 20 's Tena Ukiwa chuo..wamiaka 30 and above unawaona wazee Sana..[emoji2][emoji2][emoji2]....Kama nakuelewa hivi
 
Ukiwa na niamka 20 's Tena Ukiwa chuo..wamiaka 30 and above unawaona wazee Sana..[emoji2][emoji2][emoji2]....Kama nakuelewa hivi
..........😂😂ebu tumshaur kwanza mtoa post ....then yetu tudiscuss baadae
 
Hili neno Mikoani linaniumiza sana yani ni sawa na atakayesema kiba💯, nachukia sanaaaa. Cjui mnatuonaje? Kwamba kuna wa Mkoa na Mikoani?
 
Hili neno Mikoani linaniumiza sana yani ni sawa na atakayesema kiba[emoji817], nachukia sanaaaa. Cjui mnatuonaje? Kwamba kuna wa Mkoa na Mikoani?
Mbona Mimi pia nikiwa Dom..nawaita wa nje ya Dom..wamkoani...unachukia Nini?
Vitu vya kuchukia Ni Tabia zako na kuzibadilisha...

Pole Kama unakibamia
 
Back
Top Bottom