Mchunaji kachunwa

Mchunaji kachunwa

Kwa hilo voda nimewafurahia sana. Kuna mtu alinifanyia kitu kama hiyo then nikawapigia voda na wakarudisha mzigo wangu. Huyo mtu kanichukia hadi kesho mm nafurahi hadi kesho kutwa ha ha haaaah!. Voda kuna baadhi ya vitu wako vizuri sana, ha ha haaa!. Jamaa kafanya jambo jema kurudisha pesa yake. Ha ha haaaah!!
Kuanzia leo na mimi nitakuwa nawatumia Vodacom, manake kuna watoto wengi walishawahi kunifanyia figisu figisu, ningekua ningewakomesha dadeki zao
 
Kwa hilo voda nimewafurahia sana. Kuna mtu alinifanyia kitu kama hiyo then nikawapigia voda na wakarudisha mzigo wangu. Huyo mtu kanichukia hadi kesho mm nafurahi hadi kesho kutwa ha ha haaaah!. Voda kuna baadhi ya vitu wako vizuri sana, ha ha haaa!. Jamaa kafanya jambo jema kurudisha pesa yake. Ha ha haaaah!!
jamaa wanajua sana
 
Kwa upande mwingine wanawake wanawake wana hizo tabia sana.. lakini ukishajua dhamira zao... hawakusumbui kichwa... Sababu usipotoa unaambiwa bahili.. ukitoa unafanywa bwege...
 
3b02ac41210dca4e190cff52d2809fdf.jpg

Hivi hawa TBS wapo kazini au likizo?inakuwaje bidhaa mbovu kama hizi zinaachwa na kuingia katika soko la Tanzania?
Ni hasara kiasi gani inaweza kusababishwa na bidha zenye viwango hafifu kama hizi?ni hatarishi kwa usalama,ni uchafuzi mkubwa wa mazingira nk nk.
TBS ni jipu linatakiwa kutumbuliwa fasta!
Mimi bado nalia na viroba
 
Mimi nadhani Weye ndio huyu binti njilinji maana umekazania TBS
Jamaa Kesha chukua noti yake
We nuna tu.
 
jamaa wanajua sana
Japo voda upande mwingine wanaboa, lakini kwa hapo m-pesa nimewanyooshea miguu juu. Hata laini nimewahi poteza mara mbili zikiwa zina laki 2 mda mwngne laki, nilipo renew nikatoa mzigo nikakuta upo salama. Tangia hapo mambo ya kurusha nikikosea napiga fasta mzigo unarudi km mtumiwa hajautoa bado
 
Back
Top Bottom