Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kuanzia leo na mimi nitakuwa nawatumia Vodacom, manake kuna watoto wengi walishawahi kunifanyia figisu figisu, ningekua ningewakomesha dadeki zaoKwa hilo voda nimewafurahia sana. Kuna mtu alinifanyia kitu kama hiyo then nikawapigia voda na wakarudisha mzigo wangu. Huyo mtu kanichukia hadi kesho mm nafurahi hadi kesho kutwa ha ha haaaah!. Voda kuna baadhi ya vitu wako vizuri sana, ha ha haaa!. Jamaa kafanya jambo jema kurudisha pesa yake. Ha ha haaaah!!
OMG !! mie majibu yako tu.. hufunguwa domo langu kwa kucheeeka!!Eti Dada wa watu mashavu yakamshuka,
Mmmh ulimuona ????
Analeta ukatuniOMG !! mie majibu yako tu.. hufunguwa domo langu kwa kucheeeka!!
jamaa wanajua sanaKwa hilo voda nimewafurahia sana. Kuna mtu alinifanyia kitu kama hiyo then nikawapigia voda na wakarudisha mzigo wangu. Huyo mtu kanichukia hadi kesho mm nafurahi hadi kesho kutwa ha ha haaaah!. Voda kuna baadhi ya vitu wako vizuri sana, ha ha haaa!. Jamaa kafanya jambo jema kurudisha pesa yake. Ha ha haaaah!!
khaswa ukatuni....Analeta ukatuni
Mzima mkuu? Pasaka imeenda fureshi?
Aaaaanh poa mkuu, fukuzia shilingikhaswa ukatuni....
Supa fine.. ila mie nipo kazini full time!!
Yakapanda mlima kudadadeki zakeEti Dada wa watu mashavu yakamshuka,
Mmmh ulimuona ????
Mtwara watakUita MCHINYAJIKwa upande mwingine wanawake wanawake wana hizo tabia sana.. lakini ukishajua dhamira zao... hawakusumbui kichwa... Sababu usipotoa unaambiwa bahili.. ukitoa unafanywa bwege...
Mimi bado nalia na viroba
Hivi hawa TBS wapo kazini au likizo?inakuwaje bidhaa mbovu kama hizi zinaachwa na kuingia katika soko la Tanzania?
Ni hasara kiasi gani inaweza kusababishwa na bidha zenye viwango hafifu kama hizi?ni hatarishi kwa usalama,ni uchafuzi mkubwa wa mazingira nk nk.
TBS ni jipu linatakiwa kutumbuliwa fasta!
viroba ni janga la kitaifaMimi bado nalia na viroba
Mimi nadhani Weye ndio huyu binti njilinji maana umekazania TBS
Hivi hawa TBS wapo kazini au likizo?inakuwaje bidhaa mbovu kama hizi zinaachwa na kuingia katika soko la Tanzania?
Ni hasara kiasi gani inaweza kusababishwa na bidha zenye viwango hafifu kama hizi?ni hatarishi kwa usalama,ni uchafuzi mkubwa wa mazingira nk nk.
TBS ni jipu linatakiwa kutumbuliwa fasta!
Kazi ndogo kabisa, voda hawachelewi kwa hilo!Kuanzia leo na mimi nitakuwa nawatumia Vodacom, manake kuna watoto wengi walishawahi kunifanyia figisu figisu, ningekua ningewakomesha dadeki zao
Japo voda upande mwingine wanaboa, lakini kwa hapo m-pesa nimewanyooshea miguu juu. Hata laini nimewahi poteza mara mbili zikiwa zina laki 2 mda mwngne laki, nilipo renew nikatoa mzigo nikakuta upo salama. Tangia hapo mambo ya kurusha nikikosea napiga fasta mzigo unarudi km mtumiwa hajautoa badojamaa wanajua sana
Sijakuelewa mkuu kuwa una maanisha nini eti