Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,636
- 2,020
Fafanua vizuri hapo tafadhaliEmotional disease it is like gate keepers on behind closed doors, only few can understand this twisted tongue, na hicho ndio kitu adimu alipewa mpaka akang'ata shuka, listen ukiwa na mwanamke on bed kua makini ukiwa msembe kidogo akicheza na hizo nyugunyu unaweza usiamke tena
Ushawahi fanyiwa mambo fulani fulani on bed na mchuchu namaanisha ile foreplay kuna vitu fulani hua anafanya kuandaa uwanja wa kufanyiziwa vitu vitu sasa pale wote wawili damu zinakimbia mbaya kuelekea maeneo ya chini sasa huko maeneo ya chini pakipata hitirafu kidogo akikugusa vibaya hitirafu hio ina backfire mpaka moyoni unaweza ukapata heart failure utakutwa hapo ukiwa bila hata chupi na umedinda ila haupumui tenaFafanua vizuri hapo tafadhali
Ndio ukubwa huo amefia kwenye huduma lakini si umeona alienda kumuombea Mwanachuo privateHabari zingine.. Unawaza aibu tu aliyoacha kama alikuwa na mkewe na watoto..
Ndio ukubwa huo amefia kwenye huduma lakini si umeona alienda kumuombea Mwanachuo private
Mchungaji kaenda kutoa maombi private na Mwanachuo ambae alikua anasumbuliwa na roho wachafu ila kabla ya maombi akaona hawawezi kuziondoa hizo roho chafu hadi wote wavue nguo na kubakia km walivyozaliwa kisha huduma ya maombezi ikaanza chap kwa haraka, au unasemaje mkuu?Yeah inasikitisha.. Bahati mbaya kwake yeye na utumishi huo ikawa hivyo.. Send off yake ya aibu sana haswa kanisani....
Labda ni lango kusaidia baadhi.... waache hayo wanafanya
Maombi ni popote mkuuMaombi gani gesti?
Ya kusifu na kuabuduMaombi gani gesti?
Umri huo ndio pesa zinakua zimefurika sasa unawapaje bure lazima wayapanue mapaja, sasa hapo kwenye kuyapanua mapaja ndio kuna issueWewe ukishafika 45+ achana na vijenZ... Vitakuuwa..
Huo ni umri wa Kimoko chali...
Unataka kukomoa K... Unakufa.
Ujinga...ujinga...ujinga....
Utakufa...Umri huo ndio pesa zinakua zimefurika sasa unawapaje bure lazima wayapanue mapaja, sasa hapo kwenye kuyapanua mapaja ndio kuna issue
We shauri lako! ππππmbona nilikuombea na sijafaπ π
πKuchafua imani za wengine.
Hawa waandishi wasiokuwa na ithibati wanaleta taharuki kwenye jamii.
Kwani nakua nimeshikiwa bastola?.....kama jibu ni NO naahirisha kumla shida yote hii ya niniMkuu ushawahi kukutana na K ya hivyo yaan ukiingia tu kitu kinabanwa km ulivaa kondomu ukichomoa K inaivua kondomu maana kondomu inakua imebanwa ndani umewahi au unakutana na mabwawa tu kinachofuata kuogelea?