Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

Makanisa yakiongezeka wanakuaje insecure?
Na kwa nini makanisa yasiongezeke? Hata na waislamu wanairuhusiwa kwenda kwenye wakristo wengi na kujenga misikiti wanavyotaka
 
Kwani wakijenga shida ipo wapi? Kwa hiyo waislamu hawatakiwi kujenga misikiti nchi zenye wakristo wengi?
 
Mkuu inawezekana kuna kitu cha ziada kinachokusumbua, Hayo masuala ya mabaa na makahaba sio hoja kabisa kwenye mazungumzo yetu. Waumini wa dini yoyote hupotea na kuanza kufanya matendo maovu bado haiwaondoi wao kuwa waumini wa Dini fulani.
 
Makanisa yakiongezeka wanakuaje insecure?
Na kwa nini makanisa yasiongezeke? Hata na waislamu wanairuhusiwa kwenda kwenye wakristo wengi na kujenga misikiti wanavyotaka

Mkuu nchi zote zinazoshikamana na upande fulani wa dini huongozwa kwa misingi ya kimaslahi ya dini au dhehebu husika, Huo ndio uhalisia. Haiwezekani Zanzibar kuwa kama Bara ambapo uiano wa kidini ni nearly 50 - 50.
 
Huyo mkuu wa Wilaya mbona ana akili za kipumbavu namna hii,tangu lini mamlaka zinabomoa nyumba kisa mamlaka ya hali ya hewa imesema kwamba kutakuwa na mvua?

Halafu nyumba iliyobomolewa ni moja tu?kuna jambo limejificha hapo.
DC uwezo zero
 
Nitoke nje ya mada kidogo, hv makanisa ya kilokole kuubiri bila vipazasauti haiwezekani. Yaan SoMo haliwezi kueleweka. Japo dini na madhehebu mengine nao hufanya hivyo lakini wanaunafuu kidogo ukilinganisha na walokole.
Mbona misikiti ina vipaza sauti na inapiga kelele kuanzia saa kumi alfajiri, saa saba mchana, saa kumi jioni na saa kumi na mbili au saa moja usiku...?au yale hayana vipaza sauti?
 
Nilishasema jamaa wanna akili ndogo San hvyo bas Bora mtumishi aachane nao asije kumwagiwa tindikali
 
Type wa watu wa znz
 
Niliwambia kuwa no hatari ila nilitukanwa San
 
God needs us to be spiritual rather than to be religious. Wadini Wana mipaka ya mawazo na wengi hawamjui Mungu.
Ila umennichekesha unaposema kwamba machoko wanaonekana wa maana kuliko walokole Zenji.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Huyo mkuu wa Wilaya mbona ana akili za kipumbavu namna hii,tangu lini mamlaka zinabomoa nyumba kisa mamlaka ya hali ya hewa imesema kwamba kutakuwa na mvua?

Halafu nyumba iliyobomolewa ni moja tu?kuna jambo limejificha hapo.
Dr Mwinyi atamtengua Mara moja.Siku si nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…