Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mkuu hata wewe 😂😂😂Hahaaa..kaa kutulia mapepo hayo your possessed.
Njoo ukanyage mafuta kwa mwamposa ukae sawa.
#MaendeleoHayanaChama
Kanisa ni sehemu yoyote ya kukutana na kuabudia, hata kama ni bandaShida ni kuwa mchana nyumba usiku kanisa....
Aliyevunjiwa ni mgeni kutoka Kenya, Uganda, Ulaya, Asia au Marekani?Mkuu Zanzibar ni nchi ya kiislamu, 99% ya watu wake ni waislamu, kwahiyo hakuna cha ajabu kuwa na mifumo ya kiislamu kwenye maisha yao, ni tofauti na Bara ambapo uwiano wa dini hizi mbili ni mkubwa nearly 50 - 50, So cha muhimu ni kufahmu kuwa haiwezekani mazingira ya Zanzibar yakawa sawa na Bara. Tujaribu kulitathmini kwa uandani na sio kuishabiki. Tatizo kuu la Zanzibar ni suala la Makanisa kuwa yanaengezeka kwa kasi kila siku zinavyokwenda, Na hilo linawafanya wananchi wao wengi kuwa insecure. Nchi nyingi ambazo ziko dominated na dini moja kwa zaidi ya 90% ni lazima watu wa dini nyengine wata experience mambo kama hayo, na hasa wakiwa Wageni.
Hawa jamaa wakiwa majority wanakua miyeyusho sana kwa wanachofanyiwa china au myamar ni sawa kwa kua wao niwachache ?
Aliyevunjiwa ni mgeni kutoka Kenya, Uganda, Ulaya, Asia au Marekani?
Are you serious? Kwa hiyo palipo na wakristo au aethist wengi basi msikiti ukatazwe!Kuna watu wengine ni wakorofi tu of all places kwanini ujenge kanisa Zazibar? ambao hamna wateje? 99% ni dini moja ya kiislamu? Ni yale yale ya kuweka bucha ya kitimoto karibu na mskiti wakati kuna sehemu zingine kwa kisingizio xha uhuru wa mtu kufanya biashara popote.
Mbona misikiti inatunyima usingizi kwa vipaaza sauti, saa ingine na matusi ndani alfajiri?Nitoke nje ya mada kidogo, hv makanisa ya kilokole kuubiri bila vipazasauti haiwezekani. Yaan SoMo haliwezi kueleweka. Japo dini na madhehebu mengine nao hufanya hivyo lakini wanaunafuu kidogo ukilinganisha na walokole.
Hivi watu kutoka bara ni wahamiaji? Je wale toka Zanzibar waliopo bara ni sahihi kuwaita wahamiaji?Mkuu kuhusu hiyo namba 4 halina utata kabisa, Ni kweli Zanzibar kuna Wakristo wengi ila majority yao ni wahamiaji. Wakiristo wa asili kwa maana ya wale wanaotambulikana kama ni wazanzibari wakichanganyika na wahindu hawawezi kufika hata asilimia 1.
Si wakutane hata baaKanisa ni sehemu yoyote ya kukutana na kuabudia, hata kama ni banda
Mkuu,kuna aliyeteswa Zanzibar kama wanavyoteswa hao wachina? tena ni wazawa kabisa
..Pia miezi michache ijayo kipindi cha mfungo kikianza huwa ni marufuku kwa wakristo kula sehemu za wazi, ukikutwa unafungwa mpaka mfungo uishe, wengine huwa wanapigwa sana...
Hama mji rudi kijijini kwenu ,utasikia sauti Za komba Tu alfajiriMbona misikiti inatunyima usingizi kwa vipaaza sauti, saa ingine na matusi ndani alfajiri?
Kama dini yako mnaabudia baa, ni nyie tuSi wakutane hata baa
Do your research utagundua nchi zenye waislam wengi zinatabia gan kwa waumin wenginekuna aliyeteswa Zanzibar kama wanavyoteswa hao wachina? tena ni wazawa kabisa
Ina maana serkali iliona isaidie kuvunja hiyo sehemu ya nyumba kuliko ilihali isivunjwe na upepo wa mvua. Jamani, huyu DC anahitajika huku bara, ambako nyumba mamia na mamia huezuliwa au kuvunjwa na mvua/upepo ili avunje hizi nyumba mapema na kuokoa mabati. Hii itakuwa huduma ya aina ya pekee kutolewa duniani. Sijawahi kusikia popote duniani nyumba huvunjwa na serkali utabiri wa hali ya hewa ukionyesha upepo na mvua hatarishi. Mimi huwa nasikia kama kunategemewa mvua/upepo hatarishi watu wanaambiwa waondoke kwenye nyumba zao wakaende sehemu salama. Ni ajabu kuvunja nyjm,ba na mwenye nyumba kuachwa sehemu hatari.So, what is your point here na tushike lipi hasa...?
Kwamba mamlaka za mipango miji huko Ugunja - Zanzibar ziliamua kulivunja kanisa la Mch. David Suni kwa sababu they are all insecure....?
Au tumwamini DC asemaye kuwa, zimevunja kanisa hilo kwa sababu ya utabiri wa hali ya hewa kusema kuna mvua kubwa zinakuja huko Ugunja - Zanzibar na mvua hizo zimelenga kuja kulipitia kanisa hilo tu ktk mtaa huo...?
Hivi watu kutoka bara ni wahamiaji? Je wale toka Zanzibar walipopo ni sahihi kuwaita wahamiaji?
Msikilize huyu X mchungaji
Hivi unadhani mimi ni mgeni katika uislamu mpaka unitafutie sauti za akina mwaipopo na wengineo wakielezea mambo waliyofanya miaka kadhaa nyuma wakiwa wakristo ?Hizo sheria zimetungwa baada uvamizi. Wazanzibari tunajuana vizuri Na Hao wakristo wanajulikana. Haya makanisa ya uyoga yanakuja kuleta fujo Tu.
Kuna video ya mchungaji aliyesilimu anaeleza vizuri malengo yao naitafuta nikuwekee
Kabla ya hizo sheria naomba uniambie mzanzibari ni nani ?Hizo sheria zimetungwa baada uvamizi.
Mnajuanaje ?Wazanzibari tunajuana vizuri
Kuna uhusiano gani wa wakristo na wazanzibari ?Hao wakristo wanajulikana.
Tatizo ktk uislam amri yao kuu ni usichangamane na asiyekuwa muislam ukipata chance mle kichwa uione pepo sasa hii theory ya kwamba pendaneni haiwazi ku-match hata mara moja.Wanadamu wangefahamu kuwa amri kuu kuliko zote ni upendo wasingegawanywa na dini.